MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, December 23, 2015

WANANCHI WA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA KWA KUSHIRIKIANA NA MKUU WA WILAYA YA UVINZA WAJENGA ZAHANATI YA KISASA

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mrisho Gambo akishirikiana na wanakijiji cha Mazungwe kilichopo lata ya kazuramimma Wilaya ya uvinza kuchimba msingi wa zahanati ya kijiji hicho.Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii Kigoma.
 Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofalu kwaajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao.
 Sehemu ya msingi imekamilika,inafuata hatua ya awali ya ujenzi zahanati hiyo ya kisasa katika kijiji cha Mazungwe
 Wananchi wa kijiji cha mazungwe wakisomba matofalu kwaajili ya ujenzi wa msingi wa zahanati ya kijiji chao
 Zahanati iliyokuwa inatumiwa na wananchi wa kijiji cha mazungwe Wilayani Uvinza
Wanakijiji wakiendelea na Kazi ya kuchimba msingi inaendelea kwa ajili ya zahanati ya kisasa.
Unknown at 12:56 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.