Pages

Sunday, May 29, 2016

Benki ya TIB Corporate yapongezwa kwa juhudi za kuwezesha makandarasi wazawa






‘Tumeona juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuwawezesha wakandarasi wazalendo, kwa kuanza kuwapa miradi mikubwa, ndio maana tumeanzisha huduma mbalimbali za kibenki kama dhamana ya kibenki bila gharama yoyote pamoja na mkopo wa ununuzi wa vifaa ambazo zitawasaidia wakandarasi wa ndani kufanikisha miradi yao bila usumbufu wowote’ alisema bwana Nyabundege

No comments:

Post a Comment