MPALULEBLOG:

Pages

▼

Sunday, May 29, 2016

NAPE AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO MTAMA NA KUFANYA MIKUTANO MIWILI YA HADHARA


Wakazi wa kijiji cha Rondo Mnara wakimsikilza Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye .
Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyeakicheza ngoma ya asili ya Wamwela pamoja
Wakazi wa Chihodya kata ya Chiponda wakishangilia jambo wakati Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyealipokuwa akihutubia.
MPALULEBLOGS:
Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na viongozi wa kijiji cha Rondo Mnaramara baada ya kuwasili tayari kuwahutubia wakazi hao waliojitokeza kwa wingi.
Sehemu ya wakazi wa kijiji cha Rondo Mnara wakiwa tayari kumsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Mbunge wa jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipitia moja ya jambo la msingi pamoja na diwani wa kata ya Rondo Mama Halima Mwambe muda mfupi kabla ya kuanza kuhutubia wakazi wa Rondo Mnara
Unknown at 11:22 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.