MPALULEBLOG:

Pages

▼

Sunday, May 29, 2016

TAIFA STARS NA HARAMBEE STARS ZATOSHANA SARE 1-1.



Kikosi cha kwanza cha timu ya Soka ya Tanzania -Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Harambee Stars ya Kenya hapo jana Jumapili.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na David Odhiambo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya hapo jana. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sare ya 1-1.
MPALULEBLOGS:Winga wa Taifa Stars, Shiza Ramadhani akichuana na beki Joakins Atudo wa Harambee Stars katika mchezo huo.
Unknown at 11:27 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.