MPALULEBLOG:

Pages

▼

Friday, June 10, 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA WACHANGIA DAMU DUNIANI KUFANYIKA KITAIFA MKOANI DODOMA

 .       Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani yanayotarajia kufanyika tarehe 14 Juni mwaka huu. Maadhimisho hayo kitaifa yanatarajia kufanyika mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Mapngo wa Taifa wa damu salama, Dkt. Abdu Juma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya wachangia damu duniani yanayotarajia kufanyika tarehe 14 Juni mwaka huu. Maadhimisho hayo kitaifa yanatarajia kufanyika mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa Mapngo wa Taifa wa damu salama, Dkt. Abdu Juma na kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Caroline Damian.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO)
Unknown at 1:02 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.