MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, July 21, 2016

VIJANA WANA FURSA YA KUTUMIA MAONESHO KATIKA KUCHAGUA VYUO WANAVYOTAKA VYA NDANI NA NJE YA NCHI.

Hayo ameyasema mkurugenzi mtendaji, Abdulmalik Mollel wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yanayoendelea katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam .Mollel amesema kuwa vyuo vya nje viko 100 ambavyo vimeshiriki maonesho hayo. Mkurugenzi huyo amesema kuwa bodi ya mikopo wanafunzi wanaweza kutumia kujua jinsi gani bodi inafanya ikiwa pamoja na udahili wa vyuo vya nje unafanywa katika maonesho hayo .Mollel amesema kuwa vyuo vya nje vilivyopo ni bora na vinaendana maisha ya watanzania kuweza kumudu gharama za vyuo hivyo
Unknown at 4:02 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.