TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, June 15, 2013

Siku ya Kuzaliwa Mtoto Erasmus Richard Lunaga- Tegeta jijini Dar es Salaam.

 Hapa ikionekana keki aliyoandaliwa na wazazi wake
 Shangazi yake Erasmus, Bi. Rosemary Lunaga, akiwapongeza kwa mtindo wa kuwapa Chakula watoto
 Mtoto Erasmus akiwa nyuma ya Keki
 Mtoto Erasmus Lunaga, akiwa na watoto wenzake
 



Shangazi yake Erasmus Rose Lunaga, akipozi baada ya kuwapa Chakula Wageni katika Hafla hiyo.
(Picha Zote na Redmptus Mkama)

ILIKUWA NI SIKU AMBAYO MWILI WA MAREHEMU ROBERT MAKIMA- UKISAFIRISHWA UKEREWE KWA MAZISHI

Jeneza la Mwili wa  Mzazi Mlezi wa  Redemptus Mkama, likiwa njiani(ndani ya Meli) kuelekea Ukerewe kwa Maziko, pembeni mwa jeneza ni Redemptus Mkama.
 Mjane wa Marehemu(kushoto) Sabina Kaliba na Wifi yake- Spelansia Laurent, wakiwa kwenye Meli.
 Watoto wa Marehemu kutoka kushoto wa pili ni Veronica Robert, Mjukuu na Binti wa Marehemu , Editha Robert.
 Mwili wa Marehemu Robert Ukishushwa katika Meli baada ya kuwasili katika kisiwa cha Ukerewe
 Wafiwa wakiwa katika Msiba huo
Wajukuu wakiweka Mishumaa kuhitimisha Safari ya Mwisho.
(Picha Zote na Redemptus Mkama)

RAIS wa Marekani, Bw. Barack Obama, atakuwa na ujumbe wa watu 700 katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia Julai Mosi mwaka huu.


Askari Polisi akimdhibiti kijana ambaye hakufahamika jina (wa tatu kulia)kwa kutuhumiwa kuiba kompyuta ya kubebe 'laptop' na  hela ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam juzi. Picha na Pete Twite

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Bi. Liberata Mulamula akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam jana kabla ya mkutano wa kujadilikuhusu maadhimisho ya Miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) yatakayofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Picha na Asia Mbwana
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta, Prof. Lehice Rutashobya  (katikati) akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Posta, Bw. Hamisi Mndeme, baada ya kumalizika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo Dar es Salaam jana. Picha na Prona Mumwi
========================================================
RAIS wa Marekani, Bw. Barack Obama, atakuwa na ujumbe wa watu 700 katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe, aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema kutokana na ziara ya kiongozi huyo, alitoa wito kwa wafanyabiashara wenye hoteli, migahawa, magari ya kukodisha waziboreshe biashara zao ili Wizara hiyo iingie mkataba nao. Aliongeza kuwa, akiwa nchini, Bw. Obama atafanya mkutano na viongozi wa nchi zinazoendelea kwa kuzungumzia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika nchi zao.“Ugeni huo ni mkubwa, ujio wa kiongozi huyu utaisaidia nchi kupata pesa za Miradi ya Changamoto za Milenia (MCC), ambazo zitatumika katika maji, elimu na barabara. “Pia Rais Obama atazungumzia jinsi nchi za Afrika zitakavyopata umeme wa kutosha tofauti na sasa...kimsingi tumejiandaa katika mapokezi yake hata kwenye mavazi,” alisema Bw. Membe. Hata hivyo, Bw. Membe alisema tayari baadhi ya ujumbe ambao ataongozana nao umeanza kuwasili nchini kwa matayarisho. Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. John Haule, alisema Umoja wa Nchi za Afrika (AU), kesho unafikisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Alisema maadhimisho hayo yatafanyika Makao Makuu ya umoja huo Addis Ababa, nchini Ethiopia ambapo nchini Tanzania, yatafanyika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Aliongeza kuwa, mgeni rasmi katika maadhimisho hayo nchini atakuwa Bw. Membe ambaye atakuwa na mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania. Bw.Haulea lisemaumoja huoulianza mwak a1963 a mbapohadi sasamafa nik iowaliyoya patani onge zekolawa nachamakuto ka32hadi54,kupat ikanakw auhuruwa nchi ya S udanKusin i,vio ngozi wanawak ebaraniAf rikanawananchiku waheshi muviong ozi wanchi zao .A lisemambali ya mafanikio waliyopa tapiakunachangamotozilizopoka tika nchi wanachama kamatis hiolaugaidi, uh aramiana hali te tekati ka baadhiyanchi kam aSomalia na Mali.

ZOOM TANZANIA- INAKUPA FURAHA WAKATI WOTE.- TANGAZA PAMOJA NA ZOOM TANZANIA