TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 13, 2016

TAARIFA KWA UMMA


SERIKALI KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO NA IRAN

MHE. KAIRUKI ATEMBELEA MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA (PTF)

WABADILISHAJI WA FEDHA TUNDUMA SASA KULIPIA KODI TRA: NAIBU WAZIRI WA FEDHA DKT ASHATU KIJAJI AIAGIZA


Naibu Waziri Fedha na Mipango Dkt,Ashatu Kijaji akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Mbeya ( hawapo pichani) mara baada ya kufanya ziara katika Mpaka wa Tunduma na Zambia .

UCHUMI WA TANZANIA WAZIDI KUSHIKA KASI

dk1

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi za Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa takwimu za pato la Taifa kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2015 (Julai – Septemba), kulia ni Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, DkHaji Semboja na kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Utafiti toka Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) Bw. Hussein Kamote.

MBUNGE NASSARI ATEMBELEA KARAKANA YA VIFAA TIBA KATIKA MJI GUANGZHOU NCHII CHINA

MBUNGE WA EALA, SHY-ROSE BHANJI AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA

WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI YA TBC

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

MAADHIMISHO YA CCM KUFANYIKA ZANZIBAR KILELE KUITIKISA SINGIDA






MAHAKAMA KUU YA TANZANIA YATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA MAHABUSU YA WATOTO JIJINI DAR ES SALAAM.

Na. Aron Msigwa-MAELEZO.
13/1/2016. Dar es salaam.

Jamii imeaswa kujenga utamaduni wa kuwasaidia watu na makundi yenye mahitaji maalumu hususan wafungwa walio magerezani na wasiojiweza  ili kudumisha upendo na kuyafanya makundi hayo kujiona yanathaminiwa katika jamii.

Wito huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe wakati akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa Mahabusu ya Watoto ya jijini Dar es salaam vilivyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania kama zawadi yao ya mpya 2016.

Bw. Ndimbe amesema Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo Mchele, Sabuni, Vinywaji, Chumvi, Unga wa Ngano, Unga wa Sembe, Mchele ,Sukari na Mafuta ya kupikia  kwa Mahabusu hao kuonyesha Upendo na namna Mahakama hiyo inavyowathamini watoto hao.

Ameongeza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa msaada huo kwa lengo la kujenga mahusiano mema baina yake na watoto hao ili waendelee kuipenda na kuwa na mtazamo chanya juu ya utendaji wake.

‘ Nimekuja kukabidhi msaada huu kwa niaba ya Mahakama Kuu ya Tanzania kwa Mahabusu hii ya Watoto ikiwa ni zawadi yao ya mwaka mpya, lengo letu ni kujenga mahusiano mema kati yetu Mahakama na watoto hawa wajue kuwa tunasaidia jamii katika masuala mbalimbali’’ Amesema Bw. Ndimbe.

Kwa upande wake Afisa Mfawidhi wa Mahabusu hiyo Bw. Ramadhan Yahaya akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo ameishukuru Mahakama Kuu ya Tanzania kwa uamuzi wake wa kuwakumbuka Mahabusu hao.

Amesema kitendo cha Mahakama Kuu ya Tanzania kuwapatia msaada huo kimewapa faraja watoto hao na kuwafanya wajione wanathaminiwa na kupendwa na Mahakama hiyo.

Ametoa wito kwa Taasisi na Mashirika mengine kuiga mfano huo ulioonyeshwa na  Mahakama  Kuu ya Tanzania ili kudumisha upendo miongoni mwa makundi ya watu wenye mahitaji maalum.
 Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania Bw. Nurdin Ndimbe (kushoto) akimkabidhi Afisa Mfawidhi wa Mahabusu ya Watoto jijini Dar es salaam Bw. Ramadhan Yahaya (kulia) msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania leo.

RAIS MSTAAFU, DK ALI HASSANI MWINYI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA SAYANSI YA JAMII YA CHUO KIKUU CHA KIMATAIFA CHA AFRIKA (IUA)

PROF. MUHONGO:TUNATAKA TANESCO IJIENDESHE KIBIASHARA:

WAZIRI KITWANGA AKABIDHI VITANDA, MAGODORO, MASHUKA JIMBONI KWAKE, AAHIDI KUMALIZA TATIZO LA MAJI NA BARABARA MISUNGWI

kt1

PROF. MUHONGO:UMEME WA MAKAA YA MAWE LAZIMA.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI

CHUO CHA KODI CHAIMARIKA KWA UMAHIRI WA MAFUNZO YA FORODHA NA KODI KIMATAIFA

MASHUJAA RADIO YAWAPA RAHA WAKAZI WA LINDI. SASA NI BURUDANI KWA KWENDA MBELE.

KATIBU MWENEZI CCM MKOA WA MWANZA ATOA MAAGIZO KWA WAWAKILISHI WA WANANCHI.

WAZIRI MKUU AMFARIJI MAMA MARIA NYERERE KUFUATIA KIFO CHA MKWEWE MH. LETICIA NYERERE

WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA KATIKA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO LA MKOA WA RUVUMA

WAZIR MKUU MAJALIWA AWAJULIA HALI SUMAYE NA BALOZI KIBELLOH MUHIMBILI

KILELE CHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPINDUZI ZANZIBAR.

GLOBAL YATOA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI SEKONDARI KINONDONI

SERIKALI KUKAMILISHA UKARABATI WA KITUO CHA AFYA CHIPOLE.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA JENGO LA ZAHANATI YA MPINGI WILAYA YA SONGEA.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA

SAMATTA APONGEZWA DAR LIVE.

MADALALI WA ARDHI WAONYWA, WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA KIBAHA ADHAMIRIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

WAFANYAKAZI WA MAZNAT WAPATA SEMINA KUHUSIANA NA UWEKEZAJI WA PAMOJA

Sunday, January 10, 2016

Special East African Resident Accommodation Rates

Special East African Resident Accommodation Rates. Serengeti Serena Lodge | Lake Manyara Lodge | Ngorongoro Serena Lodge | Mbuzi Mawe Serena Camp | Kirawira Serena Camp | Zanzibar Serena HotelCan't see images?Click here...

Special East African Resident Accommodation Rates .