TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, April 24, 2013

TUNAITAJI VYOO BAADA YA UJENZI KUKAMILIKA WA BARABARA ZA JIJI LA DAR ES SALAAM- KATIKA MAENEO YA STAND MPYA.

Mama mtu mzima. sijui ni uchafuzi wa mazingira ama ni tatizo la Serikali? katika Eneo la Stand ya Kimara inapojengwa Stand kubwa ya Magari ya Mwendo Kasi.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

WATOTO WA KITAANI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, HAPA WAKIWACHANGISHA WAPITAO NA MAGARI ENEO LA KIJITONYAMA

Hali si shwari kwa watoto wa Mitaani Ususani katika kipindi hiki cha Mvua za Mara kwa Mara, hapa watoto wanaoishi Maeneo ya Kijitonyama wakiomba wasamalia wapitao na Magari waweze kuwasaidia.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

HARAKATI ZA MAGUFULI KATIKA UKARABATI WA BARABARA ZA JIJI LA DAR ES SALAM KUHUSU MAGARI YA MWENDO KASI

 Hapa ni eneo la Stand ya Mabasi ya Mikoani kwa nje inapojengwa Daraja la wapita kwa miguu
 Hapa ni eneo la Stand ya Mabasi ya Mikoani kwa nje inapojengwa Daraja la wapita kwa miguu
 Hapa ni eneo la Stand ya Mabasi ya Mikoani kwa nje inapojengwa Daraja la wapita kwa miguu
kwa nje inapojengwa Daraja la wapita kwa miguu
 MOROGORO ROAD KAGERA STAND
 MOROGORO ROAD USALAMA STAND
 MOROGORO ROAD
 MOROGORO ROAD
 MOROGORO ROAD
Barabara za magari ya mwendo kasi katika jiji letu Dar es Salaam, Bongo New York City. (AKADABURA).
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

WAREMBO NA AINA MBALIMBALI YA STAILI YA NYWELE

(Picha kwa hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)