TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, May 14, 2016
DAWASCO YATOA MKONO WA POLE KWA DADA ASHA CHANDE ALIYEPATA ULEMAVU WA MGUU WAKATI WA KUTAFUTA MAJI
Kongamano la Uwekezaji Tanzania na Urusi lililofanyika jijini Dar
Subscribe to:
Comments (Atom)


Rais
Dkt. John Magufuli, akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka
2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa
Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha
sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma leo,Mei 1,2016.
Kutoka
kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga,
wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma leo,
Bwana harusi Samwel Milego na Bi. Florida Kahatano wakionyesha vyeti
vyao mara baada ya kumaliza kufunga ndoa yao takatifu Jerusalem church
of God lililoko Yombo Vituka jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 30,
2016. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.



Bw.
John Cheyo mmoja wa wajumbe wa Baraza la vyama vya siasa akichangia
hoja wakati wa kikao cha Baraza kujadili Mapendekezo ya Mfumo wa
utatuzi wa migogoro ndani na baina ya vyama vya siasa kilichofanyika
mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa GEPF Victoria Jijini Dar es salaam.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa wakifuatilia mjadala wakati wa
kikao cha Baraza kujadili Mapendekezo ya Mfumo wa utatuzi wa migogoro
ndani na baina ya vyama vya siasa kilichofanyika mwishoni mwa wiki
katika ukumbi wa GEPF Victoria Jijini Dar es salaam.




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Ilala Azzan Mussa Zungu, bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Angeline Mabula bungeni mjini
Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Butiama , Nimrod Mkono
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Ahmed Shabiby wa Gairo
(kushoto) na Suleiman Ahmed Saddiq wa Mvomero, kwenye viwanja vya bunge
mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Songea Mjini,
Leonidas Gama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 28, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Uenyekiti wa Jukwaa la Maspika wa
Mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Spika wa Bunge la
Afrika Mashariki Mhe. Daniel Kidega baada ya Tanzania kumaliza muda
wake. Alimkabidhi Uenyekiti huo wakati wa Mkutano wa kumi na moja (11)
wa Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki uliofanyika
Jijini Arusha leo tarehe 29 Aprili, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt
Thomas Kashililah
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Bunge la Seniti la
Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo wakati wa Mkutano wa Mkutano wa kumi na
moja (11) wa Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki
uliofanyika Jijini Arusha.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai (wa kwanza kulia) akifurahia jambo na Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Daniel Kidega (katikati) na Spika wa
Bunge la Kenya Mhe. Justin Muturi wakati wa Mkutano wa Mkutano wa kumi
na moja (11) wa Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki
uliofanyika Jijini Arusha.
Mkutano huo ukiendelea...
Baadhi ya maafisa kutoka taasisi za Wakunga na mambo ya Afya wakifuatilia mkutano huo.