TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, January 7, 2014

ZITTO KIDEDEA, AIBWAGA CHADEMA MBELE YA TUNDULISU MAHAKAMA KUU.

 HONGERA: Wakili wa CHADEMA Tundu Lisu (kulia) akilazimika kumpongeza aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe baada ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, John Mkamwa, kuridhia zuio la Zitto asijadiliwe na ngazi yoyote ya maamuzi ya Chadema, hadi kesi ya msingi aliyofungua dhidi ya chama hicho itakapomalizika. Jaji huyo amekubali kesi ya msingi iungurume na itaanza kusikilizwa Februari 13, mwaka huu. (PICHA NA THENKOROMOBLOG)
 Zitto akitoka kwa msaada wa mabaunsa wake katika chumba cha mahakama kuu baada ya uamuzi huo wa  Mahakama kuu leo jioni.
Tundu Lisu na wapambe wake wakionekana kutoka kwa aibu Mahakamani baada ya kubwagwa

 Tundulisu aklizungumza na waandishi nje ya mahakama
 Wakili wa Zitto akizungumza na waandishi nje ya mahakama kuu
 Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono Zitto wakishangilia abaada ya ushindi wa kiongozi huyo
Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono Zitto wakiwa wamekaa chini kutii amri ya polisi baada ya matokeo ya kesi kutangazwa upende wao ukiwa aumeibuka kidedea

 Wafuasi wa Chadema wanaounga mkono uongozi wa chama hicho kutaka Zitto atimuliwe uanachama, wakiwa wameduwaa nje ya mahakama baada ya uamuzi wa Jaji, John

ZITTO aibuka Kidedea Mahakamani, Wakili Kijana amuokoa ZITTO KABWE.

Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake