TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, September 22, 2016

Tume ya Mipango yaendesha Warsha kujenga uelewa juu ya Mipango ya Maendeleo ya Kimataifa na Kikanda











 Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Balozi Innocent Shiyo (katikati) kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya kufungamanisha sera, mikakati na mipango ya maendeleo ya kitaifa na ile ya kimataifa na kikanda iliyofanyika Septemba 22, 2016 katika ukumbi wa  kituo cha mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango anayesimamia Klasta ya Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Uchumi, Bw. Paul Sangawe na kulia ni Bw. Maxwell Mkumba kutoka Sekretarieti ya Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC).
 Washiriki wakiwa wanasikiliza hotuba ya ufunguzi kutoka kwa balozi Innocent Shiyo.
 Washiriki wakipata ufafanuzi wa malengo ya warsha hiyo kutoka kwa  Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango anayesimamia Klasta ya Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Uchumi, Bw. Paul Sangawe mara baada ya ufunguzi.
 Washiriki wakisikiliza moja ya mada zilizotolewa katika warsha hiyo.

Wednesday, September 21, 2016

MPINGA CUP 2016 BENJAMINI MKAPA SEKONDARI KUNDI F

Baadhi ya Wachezaji wa timu za kundi F zilizoshiriki kwenye michezo ya mzunguko wa kwanza wa Mtoano iliyofanyika kwenye uwanja wa  BENJAMINI MKAPA SEKONDARI jijini Dar es salaam.