TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 22, 2012

Wasanii wa kundi la Boda To Boda, wakati wa Onyesho lao

 wakitumbuiza katika Tamasha la Vyakula Vya Kicha vya asili(CHAGGA DAY 2012, ZUMBA LAND mjini Moshi.










































 wakitumbuiza katika Tamasha la Vyakula Vya Kicha vya asili(CHAGGA DAY 2012, ZUMBA LAND mjini Moshi.

Costa Siboka, Msanii wa Nyimbo na Ngona za Asili, katika Tamasha la Chagga Day 2012.

 akiimba na kuonyesha uwezo mkubwa kimziki, kutokana na kuwa na sauti iliyosikika na kufurahisha watazamaji
 Katika Pozi Tofauti
 hapa akitoa utambulisho kabla ya kuimba, kulia ni mwandishi wa Habari wa Gazeti la sani.
 Wakitafakari jambo
 hapa akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya My Way Entertainment, Rose Siboka,
 Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Rose akifafanua jambo
Costa Siboka akiwapa raha na radha wakazi na waliofulika Zumba Land, katika tamasha la CHAGGA DAY 2012.(Picha na Shaaban Mpalule).