TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 22, 2012

Warembo wakifurahia Mbege, Kiburudisho Murua kwa Kabila la Kichaga, kwenye Tamasha la CHAGGA DAY 2013, katika Ukumbi wa Zumba Land, mjini Moshi jana

 Warembo wakiwa katika Muonekano wa Furaha kutokana na Kinywaji cha Kabila la Kichaga, Mbege,

Waimbaji wa kundi la Jahazi, baada ya kufulia walitimukia ndani ya Zumba Land
 Waimbaji wa kundi la Jahazi, baada ya kufulia walitimukia ndani ya Zumba Land
 Wazazi na Watoto wakiendelea kwa pamoja
 wazee katika pozi
 Wengine hadi kusinzia
 Mrembo akifuatilia jambo ndani ya Ukumbi wa Zumba Land
 Mashasham yakiendelea kutoka kila kona ya Ukumbi wa Zumba Land katika CHAGGA DAY 2012 mjini Moshi.
 Watu Wazima wakimeza Taratibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na kusinzia
 Baada ya kushindwa kuvumilia, anaonekana akishangaa jambo
 Mambo haya Siyo Mjini Dar es Salaam Pekee, Starehe ya CHAGGA DAY ilikuwa ya kusisimua kama ambavyo kina dada baada ya kushindwa kuvumilia pamoja na kwamba safari ilikuwa ni kwenda jahazi, waliishilia kuingia katika ukumbi wa Zumba Land kupata mitori, Ndafu, Kisusio, Mbege, huku wakipata moja bariiiidi na TBL .
Moja ya Meza zilizokuwa maeneo hayo, pilikapilika nazo zikiendelea kwa watoto, mara kucheza na mara kunywa.(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment