TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 21, 2012

MOSHI MJINI HALI SI SHWARI, MACHINGA NA POLISI WAKABANA MASHATI,

 Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo wakiziba njia kwa mawe na tofali ili kuzuia magari kupita
  Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo wakiziba njia kwa mawe na tofali ili kuzuia magari kupita

 Baadhi ya wafanyabiashara wakisikilizia nini kitatokea baada ya mali zao kutaifishwa na Manspaa ya Mkoa wa Moshi usiku wa kuamkia leo.
 Gari la Polisi nalo likiingia eneo hilo la Tukio
 Baadhi ya Mabanda yakionekana chini baada ya kuvunjwa usiku na Watu wa Manspaa ya Moshi, na kutaifisha mali zote za wafanyabiashara ndogondogo.
 Baadhi ya Mabanda yakionekana chini baada ya kuvunjwa usiku na Watu wa Manspaa ya Moshi, na kutaifisha mali zote za wafanyabiashara ndogondogo.
 Askari akikatiza kuangalia hali ya amani kama inaendelea eneo hilo,
 hii ndiyo hali ambayo inaendelea hivi sasa mjini Moshi.
 Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiondoka eneo la tukio kuokoa maisha yao, maana hali si shwari
 Gari zikiwa pembeni mwa barabara baada ya kushindwa kupita katika vizuizi vilivyowekwa na wafanya biashara hao.
 Si kwa magari tu yanayoshindwa kuendelea na safari zao, bali hata watembea kwa Miguu pia wanapata tabu kukatiza kwenye hali kama hii.
 Kila mtu anasema lake kuhusu hali ya Moshi, wakati huo huo simu nazo zikiendelea kuchukua matukio.
 Hii sasa ni hatari, mji ambao siku zote unasifika kwa usafi leo umegeuka dampo la taka.
 Wafanyabiashara ndogondogo, wakijadili jambo, pengine wanafilia jinsi maisha bora kwa kila mtanzania inavyogeuka kuwa Sudani ya Kusini.
 Wafanyabiashara ndogondogo, wakijadili jambo,
 Hawa wao hawaamini kilichotokea na kinachoendelea.
 Kibosile huyu, sikuweza kufahamu ni nani ila inaonekana ni mtu muhimu sana, maana yeye ndiye aliyejitokeza na gari lake la Sirikali, na hapa akiondoka eneo la Tukio baada ya kushindwa kufikia makubaliano na hawa machinga wa Kichaga.
 anasepa, yaani anaondoka zake, kazi kwenu sasa askari na watu wenu, inaonekana anawaza hivyo
 "Mimi simo tena, maana nimejaribu kuwatuliza hawa watu lakini hawanielewi, wasije vunja gari langu vioo bure, miye natimuka", anaonekana kusema maneno hayo moyoni mwake.
 Sijui niondoke, au nibaki, lakini hawa watu itakuwaje, anawaza na sikukuu hii
 anaamua kutimka zake
 Jamani ngojeni niende nifanye utaratibu sawa,
 Baadae ntarudi kama hali itaendelea kuwa hivi, maana mimi wanaweza kunielewa lakini siyo nyie Askali, watu hawawapendi hata kidogo, kwa madai kwamba si waaminifu hata kidogo.
 Baadae
 Kazi kwako, mimi naondoka, ila angalia vijana wako wasije kusababisha madhala makubwa tena, kama vip waacheni maana wana asira ya kuchukuliwa mali zao, ila ikiwa vip hata nyie ondokeni tu.
 kama unamfahamu mwenye gari namba hizo basi, tujuze.
 Baadhi ya machinga wa Kichaga, wakishuhudia kibopa akiondoka eneo hili la Tukio.

 Gari hii imeingia muda si mrefu, kuongeza Utulivu.
  Gari hii imeingia muda si mrefu, kuongeza Utulivu.
  Gari hii imeingia muda si mrefu, kuongeza Utulivu.
 Askari nao wakizidi kumiminika eneo la Tukio

Askari nao wakizidi kumiminika eneo la Tukio(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment