TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 22, 2012

CHAGGA DAY HAPATOSHI MJINI MOSHI, KILA KONA NI GUMZO.

UKUMBI WA ZUMBA LAND NDIYO KAMA HIVI MJINI MOSHI- NA CHAGGA DAY
 Fundi mitambo akiwa katika maandalizi mapema asubuhi leo, Tamasha muda huu limeanza, karibia kama upo eneo hili.
 NI NDANI YA UKUMBI WA ZUMBA LAND MUDA HUU
 Msanii wa muziki wa ngoma za Asili, Mfalme Costa Siboka ndani ya Nyumba, Muda atakuwa katika jukwaa akitumbuiza na kundi lake lote.
 hapa anaonekna katika pozi
 Vijana wa mawalla katika ukumbi wa ZUMBA LAND wakikamilisha maandalizi ya Tamasha la CHAGGA DAY 2012 Mjini Moshi.

 Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Rose Siboka akiwasiliana na Msanii wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz ambaye punde anapaa na ndege kuja hapa mjini Moshi
 Mkazi wa Mji wa Moshi akipozi katika moja ya kivutio cha aina yake ndani ya Ukumbi wa ZUMBA LAND,
 Kivutio kingine kwa watoto ni pamoja na hiki
ni moja ya mipira inayotoa baruti inayokwenda umbali mkubwa ndani ya anga katika Ukumbi wa ZUMBA LAND.(Picha zote na Shaaban Mpalule)

No comments:

Post a Comment