TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 22, 2012

ZUMBA LAND- YAGEUKA NEW YORK YA MOSHI.

 Baadhi ya Vifaa vya asili vya kichaga vikipangwa mapena asubuhi leo
 Baadhi ya Vifaa vya asili vya kichaga vikipangwa mapena asubuhi leo
 Baadhi ya Vifaa vya asili vya kichaga vikipangwa mapena asubuhi leo
 Mkurugenzi wa ZUMBA LAND, Mawalla(kulia) na Baunsa wa leo(Mbavu Jonsina) wakibadilishana mawazo wakati wa maandalizi
 Timu ya Pepsi kanda ya Kaskazini, ikitelemsha vifaa vya kampuni hiyo katika Ukumbi wa Zumba Land
 Baadhi ya Vifaa vikiwa tayari vimepangwa ndani ya ukumbi wa Zumba Land
 Baadhi ya Vifaa vikiwa tayari vimepangwa ndani ya ukumbi wa Zumba Land
 Kifaa cha kuchezea Watoto, Gemu likikamilishwa na mfanyakazi wa kampuni ya Pepsi ambao leo wameteremsha vifaa hivyo katika Ukumbi wa Zumba Land kwa ajili ya michezo ya Watoto.

Mkurugenzi wa ZUMBA LAND, akiwa na kina dada ambao ni maalum kwa ajili ya Vyakula vya asili vya kichaga leo. hapa ni baada ya mazungumzo na makabidhiano kuhusu eneo vitakapowekwa vyakula hivyo.(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment