SHULE YA MSINGI GONGOLAMBOTO JESHINI YAIBUKA MSHINDI SHINDANO LA PUMA ENERGY TANZANIA.
Kauli
mbiu ya kuwalinda watoto na ajali za barabarani ambayo ni "Kwa pamoja
hatutaki ajali tunataka kuishi na maendeleo" alisema Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP) huyo.



Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Injinia Alois
Matei akiwaeleza waandishi habari kuhusu mradi wa maboresho ya Bandari
ya Dar es Salaam utakaogharimu kiasi cha Dola za Marekani milioni 690
ambapo mradi huo unafadhiliwa na Serikali, Benki ya Dunia,Trade Mark
East Afrika na DFID, kulia ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka
hiyo Bw. Focus Mauki na mwisho Kapteni Abdullah Mwingamno wa TPA Bandari
ya Dar es Salaam.
Mhandisi
Mkuu wa TPA Bi Mary Mhayaya akitoa ufafanuzi kuhusu mradi wa Flow
meter mpya ya Kigamboni ambao umeshakamilika na hivyo kuwezesha mafuta
yote yanayoingia nchini kupitia Bandari ya Dar es Salaam kupimwa na
kujulikana kiasi halisi kilichoingizwa hapa nchini ili kuiwezesha
Serikali kupata mapato stahiki ikiwemo kodi .













Wafanyakazi
wa ZFDB wakipakia shehena ya bidhaa zilizoharibika tayari kwenda
kuangamizwa katika Dampo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.
Bidhaa
mbali mbali zilizoharibika zikiteremshwa kutoka kwenye gari na
wafanyakazi wa Bodi ya chakula na Vipodozi katika Dampo la Kibele kwa
ajili ya kuangamizwa.Bidhaa mbali mbali zilizoharibika zikiteremshwa
kutoka kwenye gari na wafanyakazi wa Bodi ya chakula na Vipodozi katika
Dampo la Kibele kwa ajili ya kuangamizwa.
Mkuu
wa Idara ya Usalama na Ubora wa chakula wa ZFDB Aisha Suleiman
Mubandakazi akizungumza na waandishi wa habari juu ya zoezi la
kuangamiza bidhaa mbali mbali zilizoharibika na zilizokatazwa kwa
matumizi ya binadamu.Mkuu wa Idara ya Usalama na Ubora wa chakula wa
ZFDB Aisha Suleiman Mubandakazi akizungumza na waandishi wa habari juu
ya zoezi la kuangamiza bidhaa mbali mbali zilizoharibika na
zilizokatazwa kwa matumizi ya binadamu.
Bordoza la Manispaa ya Zanzibar likiwa kazini kuangamiza bidhaa hizo katika eneo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.
Wafanyakazi
wa ZFDB wakiongozwa na Mkuu wa operesheni ya uangamizaji bidhaa
zilizoharibika Abdulaziz Shaib Mohamed (katikati) mwenye shati
wakifuatilia uangamizaji wa bidhaa hizo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar.






No comments:
Post a Comment