MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ATUNUKU VYETI KWA WASHIRIKI WA KAMPENI YA SIKU 10 YA USAFI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO (KINAPA)

Washiriki wa zoezi la usafi katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick huku wakionesha vyeti walivyotunukiwa baada ya kufanikisha zoezi hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiliongoza kundi la watu waliopanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kufanya usafi muda mfupi baada ya kurejea kutoka katika kilele cha mlima huo.
NSSF YADHAMINI SIKU YA MADANSA DUNIANI
YANGA YAANGUKIA PUA, YACHAPWA 3-1 NA SIMBA UGHAIBUNI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akikabidhi kombe kwa nahodha wa Simba Bagasa
Mhe.
Balozi Wilson Masilingi na mkewe Marystela Masilingi wakiwa katika
picha ya pamoja na Timu ya Simba walioibamiza Yanga kwa bao 3-1 mechi
iliyoanaliwa na DICOTA 2016 Dallas Texas.
Kokosi cha Yanga Ughaibuni.

Rais
Dkt. John Magufuli, akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka
2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa
Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha
sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma leo,Mei 1,2016.
Kutoka
kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko
wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga,
wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma leo,
Bwana harusi Samwel Milego na Bi. Florida Kahatano wakionyesha vyeti
vyao mara baada ya kumaliza kufunga ndoa yao takatifu Jerusalem church
of God lililoko Yombo Vituka jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 30,
2016. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.












Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika
Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha
Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
kombe la ushindi wa jumla kwa Rais wa TUCTA Gratian Mukoba katika
kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Cheti cha Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Ndugu Peter
Chisunga katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakinyanyua mikono juu
kuashiria Mshikamano wakati wa sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi
Duniani,ambazo sherehe zimewajumuisha mbali mbali wa Taasisi za
Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Musssa Yussuf wa ZSSF Laki Sitafedha taslim akiwa
mfanyakazi Bora Chama cha ZAFICOWV katika sherehe za Siku ya wafanyakazi
Duniani Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Bi.Asya Rajab Said fedha taslim laki tano,kutoka
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa mfanyakazi
Bora Chama cha ZUPHE katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani
Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha siku ya Wafayakazi
Duniani sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi, wakipita mbele yake wakati wa sherehe za siku ya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi,(pichani) Vijana waliobeba bango kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili
ya Rais akipita mbele yake wakati wa sherehe za sikuya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano
wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya
Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Mafoto Blog





No comments:
Post a Comment