Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akitoa hoja kwa Bunge
kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka
2016/2017 leo mjini Dodoma huku akishudiwa na mwalimu wake Maria Mnkumbo
(hayupo pichani) aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika
shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida.(Picha
na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja
na mwalimu wake Maria Mnkumbo (katikati) aliyemfundisha darasa la
kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya
Iramba Mkoani Singida mara baada ya waziri huyo kutoa hoja ya Bunge
kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara yake kwa mwaka
2016/2017 leo mjini Dodoma. Kushoto ni mke wa Waziri Mwigulu Neema.
Mwalimu
msataafu Maria Mnkumbo aliyemfundisha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Mwigulu Nchemba darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi
Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida akiwa ndani ya ukumbi wa
Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa na mwalimu wake Maria
Mnkumbo aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika shule ya
msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida mara baada ya
waziri huyo kutoa hoja ya Bunge kuidhinisha makadirio na matumizi ya
fedha ya wizara yake kwa mwaka 2016/2017 leo mjini Dodoma.MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA), YAAZIMISHA SHEREHE ZA KODI JIJINI DAR ES SALAAM.
Sehemu ya wadau mbalimbali waliohudhuria hizo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Victor Kimaro kwenye sherehe ya siku ya kodi zilizofanyika kwenye ukumbi wa mikutano (TRA) Mwenge jijini Dar es Salaam 2016.








Mkurugenzi
wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (aliyesimama)
akiwasilimia wakulima wadogo zaidi ya 340 (hawapo pichani) wa mkoa wa
Morogoro wakati warsha ya wakulima wadogo zaidi ya 340 wa Mkoa wa
morogoro iliyofanyika katika Ukumbi wa Mazingira Halmashauri ya Wilaya
ya Kilombero. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Lephy Gembe.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Lephy Gembe (aliyesimama) akiwasilimia
wakulima wadogo zaidi ya 340 (hawapo pichani) wa mkoa wa Morogoro wakati
warsha ya wakulima wadogo zaidi ya 340 wa Mkoa wa morogoro iliyofanyika
katika Ukumbi wa Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero. Kushoto
Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal.
Mkurugenzi
wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (Kulia) akiwasilisha
Mada ya Utambulisho wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo kuhusu Huduma
zitolewazo na Benki, Mpango shirikishi wa Kumsaidia Mkulima Mdogo kupata
mkopo na utalaam wa kilimo cha kisasa kwa kuwashirikisha wadau wakuu wa
Kilimo katika kumkwamua mkulima mdogo wakati warsha ya wakulima wadogo
zaidi ya 340 wa Mkoa wa morogoro iliyofanyika katika Ukumbi wa Mazingira
Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Lephy Gembe (Wapili kushoto) akizungumza
na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (Wapili
kulia) wakati warsha ya wakulima wadogo zaidi ya 340 wa Mkoa wa morogoro
iliyofanyika katika Ukumbi wa Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya
Kilombero.
Mkuu
wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Lephy Gembe akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wakulima wadogo waliohudhuria warsha ya wakulima wadogo
zaidi ya 340 wa Mkoa wa morogoro iliyofanyika katika Ukumbi wa Mazingira
Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.
Mwenyekiti
wa Chama cha walimu CWT Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani Hamza Marwile
akizungumza na walimu pamoja na viongozi wa halmashauri ya Rufiji katika
kikao cha dhararu kilichofanyika nje ya ukumbi wa mikutano kwa lengo la
kudai malimbikizo ya madai yao mbali mbali.
Baadhi
ya walimu wa shule za msingi na sekondari katika Wilaya ya Rufiji
wakiwa nje ya ukumbi wa mikutano wakimsubiria mkurugenzi kwa ajili ya
kutoa malalamiko ya malimbikizo ya madai yao ya muda mrefu.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Salum Ally Hapi (wa pili kushoto)
akimshukuru Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF
James Mlowe mara baada ya kupokea msaada wa madawati 124 kwa ajili ya
Shule ya Msingi Nakasangwe iliyopo Kata ya Wazo. Hafla hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Ofisa Elimu Msingi Wilaya ya
Kinondoni, Kiduma Mageni.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Salum Ally Hapi (kulia) akipokea msaada wa
madawati 124 kutoka kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa mfuko wa
pensheni wa LAPF, James Mlowe kwa ajili ya shule za Serikali Manispaa ya
Kinondoni. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni
Ofisa Elimu Msingi Wilaya ya Kinondoni, Kiduma Mageni. 
Kaimu Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kanda ya Dar es Salaam, Bw. Yesaya Mwakifulefule akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Bw. James Mlowe akizungumza katika hafla hiyo.





Mhusika
Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda)
akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo Bi Sarah Nyika
(Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania kusitizaji usambazaji
wa filamu hiyo.( Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO).
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fisso akizungumza na
waigizaji wa filamu ya “Imebuma” (Hawapo Pichani) wakati wa ukaguzi wa
filamu hiyo kabla ya kupelekwa sokoni kulia ni 2 Afisa Utamaduni Bw.
Julius Tairo.
Afisa
Utamaduni Bw. Julius Tairo (wa Pili Kushoto) akitoa maelekezo kwa
waigizaji wa filamu ya “Imebuma” (Hawapo Pichani) wakati wa ukaguzi wa
filamu hiyo kabla ya kupelekwa sokoni kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi
ya Filamu Tanzania Joyce Fisso.
Mhusika
Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda)
akitoa maelezo kuhusu filamu hiyo wakati wa ukaguzi wa filamu ya
“Imebuma” kabla ya kupelekwa sokoni kulia ni waigizaji wa filamu hiyo.(
Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM)
No comments:
Post a Comment