TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, May 8, 2012

KUTOKA KATIKA MTANDAO WETU NA GAZETI LA MAJIRA

Posted: 07 May 2012 12:44 AM PDT
Baadhi ya wauzaji wa mahindi walikutwa na mpigapicha wetu wakichagua kwa ajili yanayowafaa kwenda kuuza sehemu mbalimbali za jiji, kama walivyokutwa soko la Tandale, Dar es salaam jana. (Picha na Rajabu Mhamila)
Posted: 07 May 2012 12:38 AM PDT
Dereva wa daladala hili linalofanya safari kati ya Gongolamboto na Posta akijadiliana jambo na mmoja wa abiria (katikati) baada ya kuharibika na kushindwa kuendelea na safari kama lilivyokutwa eneo Akiba, Barabara ya Bibi Titi Mohamed Dar es Salaam jana, kulia ni kondakta wa basi hilo.  (Picha na Charles Lucas)
Posted: 07 May 2012 12:34 AM PDT
Mafundi wakijenga nyumba za Jeshi la Polisi zitakazotumiwa na askari kwenye Mji Mpya wa Mabwepande, kama walivyokutwa nje ya Jiji la Dar es Salaam juzi,  ikiwa ni mpango wa kuimarisha ulinzi na usalama kwa wakazi wa eneo hilo. (Picha na Prona Mumwi)
Posted: 07 May 2012 12:31 AM PDT
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akizungumza na Mshauri wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Bw. Octavian Soli, baada ya kuzindua maonesho ya 28 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ALAT) ulianza Dar es Salaam jana. Wa tatu kulia ni Ofisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo, Bi. Gaudensia Simwanza. (Picha na Charles Lucas)
Posted: 07 May 2012 12:28 AM PDT
Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo wakifanyabiashara huku wateja wakipita karibu na dampo lisilo rasmi nje ya Soko Kuu la Kariakoo, Mtaa wa Mkunguni, Dar es Salaam jana, kama walivyokutwa na kamera yetu. (Picha na Prona Mumwi)
Posted: 07 May 2012 12:25 AM PDT

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)  akizungumza na
watendaji  wa Ofisi za Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika mkutano wa
majumuisho uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni jana, mara,baada ya kumaliziki kwa ziara  katika mkoa huo jana, (kulia) ni Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi..
  (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment