TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 13, 2016

VINGUNGUTI YAONYESHA VIPAJI FAINALI MPINGA CUP 2016

 KIKOSI CHA TIMU YA WAENDESHA PIKIPIKI CHAMA FC YA TABATA

 DAKTARI WA MASHINDANO KUSHOTO NA MWANDISHI WA MASHINDANO
Mratibu wa Mpinga Cup 2016 ASP Mbuja Matibu  akimkaribisha Uwanjani Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani mohammed Mpinga, wakati wa Fainali ya Mpinga Cup 2016.
 Mratibu Msaidizi wa  Mpinga Cup 2016 Insp Flora Mashishanga, akisalimiana na  Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani mohammed Mpinga, wakati wa Fainali ya Mpinga Cup 2016.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani mohammed Mpinga, (kulia) akifafanua jambo wakati wa Fainali ya Mpinga Cup 2016. iliyofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani mohammed Mpinga, (kulia) akifafanua jambo wakati wa Fainali ya Mpinga Cup 2016. iliyofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
 Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani mohammed Mpinga, (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha na viongozi mbali mbali  wakati wa Fainali ya Mpinga Cup 2016. iliyofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Jamal Malizi wa tatu kulia, akiwa kwenye Uwanja wa Karume kushuhudia Fainali za Michuano ya Mpinga Cup 2016.
 Mmoja wa Waratibu wa Mashindano ya Mpinga Cup 2016, Insp Aghata Mashayo wa pili kulia, akifuatilia kwa makini Fainali ya Mashindano ya mwaka huu.

No comments:

Post a Comment