TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, June 3, 2013

MATUKIO MPAMBANO WA TIMU ZA WABUNGE( BUNGE FC) VS NSSF MEDIA CUP-DODOMA

 Wachezaji wa Timu za Wabunge na wachezaji wa timu ya NSSF Media Cup katika picha ya Pamoja
 Kikosi cha wachezaji wa NSSF Media Cup
 Kikosi cha Wachezaji wa Timu ya Bunge
 Mkurugenzi wa NSSF Ramadhan Dau, akisalimiana na Mchezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, Maulid Baraka Kitenge, wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
 Mgeni Rasmi katika mpambano wa Timu ya Wabunge dhidi ya Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jobu Ndigae, akimkabidhi Zawadi ya kikombe katika mpambano huo, Majuto Omari wa NSSF Media Cup, katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.(Kushoto ni Mkurugenzi wa NSSF Ramadhani Dau).(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
 Kikosi cha NSSF Media Cup katika Pozi
 Wachezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, wakishangilia
 Mkurugenzi wa NSSF Ramadhani Dau, akishangilia na wachezaji wa Timu za Kombaini za NSSF kwa wanaume na wanawake
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Kombaini ya NSSF Media Cup, wanawake wakishangilia katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma, (Picha zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment