TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, July 2, 2013

TWANGA PEPETA AINA MPINZANI- YAKUSANYA NYOMI KUTOKA KILA KONA HADI WATOTO.

Mashabiki wa Aina Zote waliweza kufungaa na kujaa ndani ya Leadars Club
Baadhi ya Wanenguaji wa Twanga wakipozi baada ya kuteremka jukwaani
Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiendelea kupagawisha mashabiki
Kundi zima la  Twanga Pepeta wakijiandaa kukata Keki jukwaani
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, ambao walifurika kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili  leadars club.
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, ambao walifurika kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili  leadars club.
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, ambao walifurika kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili  leadars club.
Shabiki  na mkazi wa  Jiji la Dar es Salaam, ambae  alifika  kushuhudia Uzinduzi wa Twanga Pepeta jumapili  leadars club.
 Twanga Pepeta ikiwa inaburudisha jukwaani
 Wapenzi wa Twanga pepeta wakiendelea kufurahia uzinduzi
 Pamoja na yote hawa pia walikuwa wakiendelea kufurahia Uzinduzi na Watoto wao Mikononi, kitendo hiki si ungwana maana watoto na majukwaa wapi na wapi.
 Shabiki akiwa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta
Shabiki akiwa kapagawa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta
Shabiki akiwa kazimika kabisa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta
Mashabiki  wakiwa ndani ya Leadars Club na Twanga Pepeta(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment