Rais
 mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa amefanya ziara kutembelea 
shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa
 la uhifadhi wa wanyamapori la African Wildlife Foundation  Wilayani 
Monduli. Mzee Mkapa ni Makamu Mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao 
yake mjini Washington Marekani. picha mbalimbali zinamuonesha Waziri 
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais 
Mkapa kuzuru shule hiyo.
 Waziri Mkuu Mstaafu na
 Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza Mzee Mkapa Waziri Mkuu 
Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akiagana na  Mzee Mkapa
NA: RWEYEMAMU BLOG 
No comments:
Post a Comment