TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, August 20, 2014

TAARIFA KWA WABUNGE NA WAGOMBEA WATARAJIWA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2015 TANZANIA Wednesday, August 20, 2014 Maoni: 0

Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unataraji kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA VYAMA VYENU. Kitabu kama hicho kitakuwezesha wewe Mgombea kuto tumia nguvu kuubwa ya kujinadi badala yake utavigawa kwa wananchi mbalimbali jimboni kwako nawe kuelewa nini umewafanyia katika kipindi ambacho ulikuwa madarakani. 

Pia wagombea wapya pia wanaweza andaa vitabu kama hivi kuonesha yale ambayo wameshiriki kuyafanya na wanataraji kuyafanya chini ya ilani za vyama vyao husika. 

Mawasiliano zaidi kwa wenye uhitaji: Mroki Mroki (pichani juu) 
+255 717 002303/0755 373999/0788207274 
au barua pepe: mrokim@gmail.com.

No comments:

Post a Comment