Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Mohamed Raza 
 (kushoto) na Ally Juma Othman Ally (katikati) wakizungumza kwenye 
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
 Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ally 
Juma Othman Ally kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014.
 Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Meya wa Songea, Charles 
Mhagama,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 2014. Katikati
 ni Mbunge wa Songea mjini ,Dr. Emmanuel Nchimbi.
  Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pida na Anne Kilango 
Malecala wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 4, 
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 
No comments:
Post a Comment