TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 15, 2015

Waziri Ummy Mwalimu afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mwananyamala

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Mh.Ummy Mwalimu,akisikiliza malalamiko toka kwa wananchi waliofika hospitalini hapo kuona wagonjwa hao.
(Picha Zote na Catherine Sungura-WAMJW)

 Mh.Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi hao,nje ya hospitali hiyo,ikiwa ni masaa machache toka kuapishwa kwakwe kuwa Waziri wa Wizara hiyo
 Afisa Muuguzi wa hospitali ya Mwananyamala akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Mh.Waziri,katikati ni Katibu Mkuu Dkt.Donan Mmbando
 Waziri akizungumza na mmoja wa mama aliyelazwa kwenye wodi ya akina mama wajawazito
 .Mh.mwalimu akimjulia Hali mtoto aliyelazwa hospitalini hapo
 Watumishi wa hospitali hiyo wakimsikiliza Mh.Waziri(hayupo pichani) mara baada ya kufanyiwa ziara sehemu mbalimbali za hospitali hiyo

.Mh.Waziri akiongea na watumishi wa hospitali hiyo wakati wa majumuisho,aliwaasa watumishi wa afya kote nchini kutumia lugha nzuri wanapotoa huduma kwa wananchi
(Picha Zote na Catherine Sungura-WAMJW)

No comments:

Post a Comment