============================================
MRADI WA USAID WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA (PS3) WAZINDULIWA MKOANI KIGOMA
====================================================
WANANCHI WAZIDI KUMIMINIKA BANDA LA PSPF, MKURUGENZI MKUU AWASAIDIA WAFAMYAKAZI WAKE KUHUDUMIA WATEJA
===============================================
BALOZI WA KOREA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMIBILI
WAKUU WAPYA WA WILAYA ZA MKOA WA MWANZA WAPEWA MAJUKUMU MARA BAADA YA KUAPISHWA
===========================================
AGIZO LA KUZUIA UVUTAJI WA SIGARA NA MATUMIZI YA BIDHAA ZA TUMBAKU KATIKA MAENEO YA UMMA.
===================================================






Balozi
wa Korea, Song, Geum-young akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Museru baada ya balozi huyo
kumtembelea mkurugenzi huyo LEO. Mazungumzo hayo yalihusu maendeleo ya
hispitali hiyo.Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru akitoa historia fupi ya MNH LEO kwa Balozi Korea, Song, Geum-young.
Kutoka
kulia ni Mkuu wa Idara ya Mionzi, Dk Flora Lwakatare, Mkuu wa Idara ya
Upasuaji, Dk Julieth Magandi na Mkurugenzi wa Uuguzi, Sister Agnes Mtawa
wakifuatilia mazungumzo LEO katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma, Aminiel Aligaesha (kushoto), Mkuu
wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD), Dk Juma Mfinanga
(katikati) na Mkuu wa Idara ya Watoto, Merry Charles wakifuatilia
mazungumzo hayo LEO.
Balozi wa Korea, Song, Geum-young akisaini kitabu cha wageni.
Wabunge
wa Bunge la Vijana la mwaka 2016, kutoka Vyuo mbalimbali vya Elimu ya
Juu wakila kiapo cha utii baada ya kuanza kwa mkutano wa tatu wa bunge
hilo, mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge.
Spika
wa Bunge la Vijana, Regnald Massawe (kushoto) kutoka Chuo cha Uhasibu
Arusha akimuapisha Stella Wadson-kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii kuwa
Naibu Spika wa Bunge hilo baada ya kuanza kwa mkutano wa tatu wa Bunge
la Vijana la mwaka 2016, mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Bunge .
Mkuu
wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi ya Bunge, Owen
Mwandumbya akihutubia alipokuwa akizundua rasmi Bunge la Vijana la mwaka
2016, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma jana. Mkutano huo ni
wa tatu toka kuanzishwa kwa Bunge la Vijana chini ya mradi Legislatures
Support Project(LSP). Picha na Ofisi ya Bunge.
Wabunge wa bunge la vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa bunge hilo.


Mhe.Sophia
Mjema (kulia) akionesha Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyokabidhiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) mara baada ya kuapishwa
kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala leo katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es
Salaam. 



No comments:
Post a Comment