mhitimu wa shahada ya kwanza ya Uhusiano wa kimataifa katika chuo kikuu cha Dodoma, Balu Lada(kulia), akipeana mkono na mmoja wa walimu wake muda mfupi baada ya kumaliza mahafari ya pili ya chuohicho juziiiii, mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa rais mstaafu wa awamu ya Tatu ndg. Benjamini Wiliam Mkapa.
Mhitimu wa Shahada ya Uongozi katika biashara-Chuo Kikuu cha Dodoma, James Mande(nyuma)akiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake Veronica Mande, Muda mfupi baada ya mahafali ya pili ya chuo hicho. kati ni rafiki wa James mande
Mhitimu wa Shahada ya Uongozi katika biashara-Chuo Kikuu cha Dodoma, James Mande(kushoto)akipokea zawadi ya Shada la Maua kutoka kwa mdogo wake Veronica Mande, Muda mfupi baada ya mahafali ya pili ya chuo hicho. kati ni rafiki wa James mande
Baadhi ya Wahitimu wa mahafali ya pili ya Chuo Kikuu Cha Dodoma, wakipiga picha na ndugu zao muda mfupi baada ya hafla hiyo chuoni hapo mjini Dodoma
Mhitimu wa Mahafali ya pili ya chuo Kikuu dodoma, akipokelewa na ndugu zake
Mhitimu wa mahafali ya pili ya chuo kikuu dodoma 2011- akipozi katika picha
Wahitimu wa mahafali ya Pili ya Chuo Kikuu Dodoma, wakiondoka kwenye Hafla ya Mahafali ya Chuo Kikuu hicho cha Dodoma 2011
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Wiliam Mkapa,(kati) akiondoka kwenye hafla ya Mahafali ya Pili ya chuo kikuu cha Dodoma. ambapo alikuwa Mgeni Rasmi.
Mgeni Rasmi wa mahafali ya Pili ya chuo kikuu cha Dodoma, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mh. Benjamini Wilium Mkapa, akiondoka kwenye hafla ya mahafali hayo mjini Dodoma
Bendi ya Kikosi cha Jeshi, kikiongoza Mgeni Rasmi, Rais wa awamu ya Tatu kuondoka kwenye hafla ya mahafali ya pili ya chuo kikuu dodoma 2011.(Picha Zote na Shaaban Mpalule)