AMA
kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku
zote kunasa
waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa
sinema za Kibongo
na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph
Madaha amenaswa baada
kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni.
Kumekuwa
na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo
hujihusisha na biashara
ya kujiuza ili kujipatia kipato na
kufanya sanaa
kuwa kama chambo cha
kunasa wanaume.
OFM MZIGONI
Oparesheni Fichua Maovu (OFM)
chini ya Global Publishers, mwaka
jana ilinasa mastaa wawili kwenye
mtego wake, mke wa mtu, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ na Lulu Mathias
Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Mwaka huu, OFM imeanza kazi zake ambapo kwa kuanzia iliamua
kumtega Baby Madaha aliyejaa kwenye kumi na nane zake.
Mmoja
wa wadau wa OFM alijifanya mfanyabiashara kutoka Mwanza ambaye ni mgeni
wa jiji a.k.a Ngosha akijipachika jina la Frank ambapo baadaye katika
mazungumzo, Baby Madaha alimbana na
kutaka ampatie majina matatu ndipo
mwana-OFM Frank (feki) akajipatia
jina Frank Michael Lugwisha.
ILIKUWAJE?
Mchezo
mzima ulianza Januari 13, mwaka majira ya saa 11:52
jioni
kwa kuchati
kwenye simu ya kiganjani ambapo Baby Madaha
aliingia kichwakichwa bila
kujua anachati na ‘sumu’ wa OFM kama
ifuatavyo;
Frank/OFM: Mambo vipi Baby Madaha? Nilikuwa naomba tuonane.
Baby Madaha: Kuhusu nini?
Frank/OFM: Niwe mkweli, Madaha nimekupenda, nilipofika hapa
Dar ndo nikaona nikutafute.
Baby Madaha: Unampendaje mtu usiyemjua?
Frank/OFM: Jamani nakuonaga magazetini na video zako.
Baby Madaha: Safi, so unataka kuniambia nini ambacho
sijakisikia?
Frank/OFM: Nataka tu-meet (kukutana) Madaha nimetokea
kukupenda sana lakini Alhamisi (jana) narudi mkoani Mwanza.
Baby Madaha: Huwezi ku-manage kuwa na mimi, baki kuwa shabiki
wangu tu.
Frank/OFM: N’take radhi Madaha, kwa nini nisiweze, kikubwa kipi?
Baby Madaha: Huh! Tuma vocha tuone how worth are you? (Tuma
vocha tuone utajiri wako)
Frank/OFM: Acha utani bwana, vocha kitu gani, ongea mambo
makubwa Madaha
Baby Madaha: Hahaha…yote ninayo-except vocha tajiri.
Frank/OFM: Acha bwana. Vocha ndo kikwazo kwako?
Baby Madaha: Yap! Kama hutaki acha au unadhani natumia wireless kuchati na wewe?
Frank/OFM: Madaha wewe ni mkatili kiasi hicho?
MAMBO YASIMAMA KWA MUDA
Masuala
ya kuchati yalisimama kwa muda lakini ilipofika saa
2:22 usiku,
mazungumzo yaliendelea ambapo siku iliyofuata Frank
wa
OFM aliamua
kuendelea kumtengenezea mtego ili kujiridhisha kama
ni
kweli baadhi ya
mastaa wa Bongo wanafanya biashara hiyo haramu.
Januari 14, mwaka huu, majira ya saa 5:00 asubuhi, Frank wa
OFM alianza tena kuchati na Baby Madaha kama ifuatavyo;
Frank/OFM: Mambo Madaha? Mi Frank
(akaamua
kumpigia simu Frank wa OFM, ilikuwa mshtuko kwa Frank
kwa sababu
hakujipanga kuongea naye kwa hiyo hakupokea simu ya
Baby Madaha ambayo
ilipigwa saa 6: 30 mchana.
Dakika moja baadaye, Baby Madaha alituma meseji ya kumtoa hofu
Frank wa OFM;
Baby Madaha: Frank ‘am calling you in vain uh afraiding of me
(Frank nakupigia kwa nia njema unaniogopa?)
Frank/OFM: Sorry nilikuwa tight, naweza kupiga?
Baby Madaha: Yap!
Frank/OFM:
Frank wa OFM aliongea na Baby Madaha na kuanza kumchomekea ambapo
alitoa ushirikiano wa kutosha na kuonesha
nia ya kujenga uhusiano huku
akimtaka staa huyo kuwa ‘siriaz’
akimuahidi kuwa atakuwa naye na kuwa
ajenti wake wa muvi jijini Mwanza.
Baada ya maongezi ya kutongozana kwenye simu, Frank wa OFM
alimtumia tena meseji Baby Madaha kama ifuatavyo;
Frank/OFM: Nimefurahi sana kuongea nawe, sijui itakuwaje
tukionana?
Baby Madaha: Wait, you I’ll see.
Frank/OFM: Eti ee, nimetokea kukupenda sana.
Baby Madaha: Thanks.
Baada ya hapo Frank wa OFM alimaliza kumtumia ‘sms’ siku
hiyo, ilikuwa saa 9:12 alasiri.
Hata
hivyo, Frank wa OFM aliamua kumhoji zaidi kupitia sms
akitaka kujua
hasa akiwa naye hata kwa saa tatu atataka shilingi ngapi?
Frank/OFM:
Sasa hivi nataka kutoka niende ATM kuchukua pesa,
sasa hebu kuwa muwazi
tu wangu, kuwa na wewe kwa kama saa tatu utakuwa poa nikupe Sh. ngapi?
Mtu mzima nisije nikaumbuka si
unajua tena
kwa staa kama wewe?
Baby Madaha: Milioni 10!
Frank/OFM: Baby usinikomoe, mimi na wewe tuna safari ndefu,
kila nikija Dar tutakuwa pamoja.
Baby Madaha: (...anapiga simu lakini Frank wa OFM hapokei).
Baada ya kuona hivyo, Baby Madaha alituma sms hii “Call” (piga).
MAONGEZI YA SIMU
Frank/OFM: Mambo vipi Baby, habari za muda tena?
Baby Madaha: Salama tu, kwani wewe ulikuwa unataka kutoa sh.
ngapi ATM?
Frank/OFM:
Mimi ndiyo nilikuwa njiani naelekea ATM natoka hapa hotelini
nilipofikia nina Shilingi Mil.4 kwa usiku mmoja, hapo
vipi?
Baby
Madaha: Katoe 5 fresh, sasa benki gani utaenda kutoa
wakati benki zote
zimeshafungwa na ATM mwisho kutoa ni Mil.1,
sasa
hapo itakuwaje?
Frank/OFM:
Nitatoa kwa ATM, hata hivyo, nina master-card,
naweza kutoa Mil.1 hadi
mara 5, usijali kwani pesa kitu gani,
cha
msingi mimi ni kuwa na wewe!
Baby Madaha: Okay, fine unaweza kuja Kijitonyama (Dar) hapa
kwenye hoteli ya (anaitaja jina)?
Frank/OFM: Nimefikia hapa hotelini (jina kapuni), sasa kutoka
ni vigumu.
Baby Madaha: Okay, poa nitakuja hapo hotelini saa 1:00 usiku.
Frank/OFM: Usijali karibu sana, nakupenda sana Baby Madaha
yaani niko tayari kwa lolote, sema unataka nikupe nini?
Baby Madaha: Hahaha....(anachekaaa) nikija nitakwambia vyote ninavyotaka kwani unafanya biashara gani?
Frank/OFM:
Nauza nguo, mara nyingi nafuata Jakarta, Indonesia
mara kwa mara lakini
natumia muda mwingi kufanya kazi zangu
Mwanza.
Baby Madaha: Wee Msukuma eti? Mimi mwenyewe Msukuma kwani
unadhani jina Madaha ni la nini hilo, mimi mwenyewe Msukuma.
Frank/OFM: Nimefurahi sana kusikia hivyo, unaweza kuongea
Kisukuma?
Baby Madaha: Naweza, wewe nisemeshe tu!
Frank/OFM: Nakutogilwe gete Madaha (Frank anaongea Kisukuma
kwamba anampenda sana Madaha)
Baby Madaha: Tukuhoya ntondo nduhu tabu (anajibu kwa Kisukuma
kuwa hakuna tatizo tutaongea kesho).
Ulipofika
muda waliokubaliana na Frank wa OFM, Madaha alisema
kuna foleni kubwa
hivyo kuna sababu ya kubadilisha hoteli hiyo
iliyoko maeneo ya Ubungo
alipopanga Frank wa OFM waonane, Baby Madaha akataka wakutane nyingine
iliyoko Kijitonyama.
“Siwezi kuja huko, kwanza kuna mifoleni isitoshe
ni vizuri
ukafika mwenyewe maeneo haya ya hoteli ya… (anataja), ni
sehemu nzuri
kwangu hivyo kama huna nia mbaya na mimi ni vizuri ukaja
maana
kesho nasafiri kwenda Kenya kwenye shughuli zangu za muvi, kwa
hiyo unaweza kuja wewe tu maeneo haya,” alisema Madaha.
Frank
aliendelea kumbana kwamba tayari alikuwa ameshaandaa
pesa shilingi
Mil.5,
kama walivyokubaliana lakini asingeweza kubeba mfuko wa fedha
wote huo isitoshe ni
hoteli ambayo ameizoea kwa muda mrefu.
“Ujue Dar
mimi siyo mzoefu, achilia mbali kuogopa kutapeliwa
hivyo nakuomba uje
kwenye hii hoteli nitafurahi sana dear,
nakuomba unielewe ujue nakupenda
sana mpenzi wangu Baby Madaha, tulia tuyajenge maisha,” alisema Frank
wa OFM.
Msanii huyo alimkomalia Frank wa OFM wakutane siku ya
Jumanne
usiku ambapo alimwambia pia kuwa amepata dharura anakwenda
kumuona mfanyabiashara mwenzake kwenye hoteli moja iliyopo
Masaki (jina tunalo) ambapo Baby Madaha alitaka waonane na Frank
wa OFM
kwenye hoteli
hiyohiyo.
“Nimepata dharura sitaweza kuonana na wewe, naenda kumuona
mfanyabiashara mwenzangu maeneo ya hoteli…(jina tunalo), tuonane kesho
muda wa asubuhi,”
alisema Frank.
Baadaye Frank alimjulisha mteja
wake kuwa yuko njiani anafuata mzigo bandarini
akitoka wataonana na Baby
Madaha kesho yake asubuhi ya Jumatano iliyopita, alituma
sms hii;
Baby
Madaha: Kuna stage tano in anything, nakupa tatu, coz uko
siku ya tatu,
denying, bargaining, accepting..... tomorrow if you be still on game, i
give you the
remained good
day, enjoy Mr Frank, ukitoka cargo call me,
we meet!
Frank/OFM: Okay, siku njema nitakutafuta.
Baby
Madaha: Matajiri wengine hawana maneno kama wewe kwa
mfano…(anataja
jina
la pedeshee mmoja maarufu Dar). Wanatuma pesa na siyo
maneno, wee tuma
hela (-)-pesa ipo kila sehemu we tuma ndo nitaweza kujiongeza
kama
nakuja au laa.
Frank/OFM: Nakutumia muda siyo mrefu, usijali.
IJUMAA LAMBANA BABY MADAHA
Hata
hivyo, Baby Madaha hakutumiwa pesa alizotaka ili
kukamilisha zoezi
badala yake,
OFM walitua mzigo wa ushahidi kwenye dawati la Ijumaa
ambalo lilikuwa na
jukumu la kutafuta mzani wa ishu hiyo.
Ijumaa
lilipomtafuta Baby Madaha alikiri kuwa kwenye mawasiliano
na
mwanaume
aliyemtaja kwa jina la Frank Michael Lugisha ambaye
alisema alikuwa
akifanya naye makubaliano ya kusambaza filamu yake ya The Gal
Bladder. Alipobanwa
juu ya makubaliano ya kujiuza kwa mwanaume huyo kwa
Sh. milioni
5 alikataa
pamoja na kwamba alielezwa kuwa kuna ushahidi wa
meseji na sauti
Alipotakiwa kufika kwenye ofisi za gazeti hili ili
kusikilizishwa sauti na kuoneshwa
meseji zake, Baby Madaha alisema
hawezi kwa kuwa alikuwa na
safari ya kwenda
nchini Kenya muda mfupi
baadaye.
STORI HII NI KWA HISANI YA GLABOL PUBLISHERS LTD