TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 29, 2011

Gari likiwa limeacha njia na kutumbukia mtaroni kutokana na Mvua zilizonyesha Mwishoni wa juma

Gari aina ya Scania lenye namba za Usajili T 143 ADJ , ambalo lilikuwa likitoka Morogoro kuelekea Dar es Salaam, baada ya kutumbukia katika Mtalo Eneo la Mbezi Magari Saba(Picha na Shaaban Mpalule)

SAFARI YA ERASMUS LUNAGA-WAKATI WA MAZIKO YAKE NA JINSI ALIVYOWAACHA WATU KATIKA MAJONZI

 Hii ni Familia yake,
 Getruda Mongela akiweka udongo wakati wa salamu za mwisho
 Kaka wa Marehemu Erasmus Lunaga akiweka Udongo
 Mke wa Marehemu, Mama Lunaga akiweka Udongo wakati wa maziko
Mke wa Marehemu, Mama Lunaga akiweka Udongo wakati wa maziko
 Mtoto wa Marehemu, Richard Lunaga(kati) na ndugu yake Rede Mkama  wakati wakiwa kanisani
 Baadhi ya watu waliofika kuaga Mwili wa Mpendwa wetu, Baba yetu Erasmus Lunaga
Mke na Watoto wa Marehemu Erasmus Lunaga wakati wa maombezi katika kanisa la Roman Mbezi

Sunday, December 25, 2011

ZULU PARADISE CLUB ILIVYOPAGAWISHA GONGO LA MBOTO



Hii ni katika Moja na mbili kusherehekea Siku Kuu ya Chrismass, Ukumbi wa Zulu Paradise-Gongolamboto Mtu wangu Hapatoshi, Si Disco Toto wala Watu wazima, Nyomi, Wameanza watoto katika shoo yao ya kutafuta wakali watoto wanaocheza kuliko wengine, Watoto kibao, kama hivyo- Chrismas hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee- Yesu Kazaliwa Upya, je  wewe upo nafasi ipi? au ndo umalaya, Uzinzi, Fitina, Wivu, Husda, Kiburi, Mnyimi, Mwizi, usali, ufanyi mazoezi, usaidii wenzako, unajitenga, mlevi, dhulumati, fisadi, tapeli, msengenyaji, mlawiti, mchawi, kidokozi, mvivu, na mto tii Amri za Mungu? Watoto kama unavyojua wao ni furaha tu.