HONGERA: Wakili wa CHADEMA Tundu
Lisu (kulia) akilazimika kumpongeza aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa
CHADEMA, Zitto Kabwe baada ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya
Dar es Salaam, John Mkamwa, kuridhia zuio la Zitto asijadiliwe na ngazi
yoyote ya maamuzi ya Chadema, hadi kesi ya msingi aliyofungua dhidi ya
chama hicho itakapomalizika. Jaji huyo amekubali kesi ya msingi
iungurume na itaanza kusikilizwa Februari 13, mwaka huu. (PICHA NA
THENKOROMOBLOG)
Zitto akitoka kwa msaada wa mabaunsa wake katika chumba cha mahakama kuu baada ya uamuzi huo wa Mahakama kuu leo jioni.
Tundu Lisu na wapambe wake wakionekana kutoka kwa aibu Mahakamani baada ya kubwagwa
Tundulisu aklizungumza na waandishi nje ya mahakama
Wakili wa Zitto akizungumza na waandishi nje ya mahakama kuu
Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono Zitto wakishangilia abaada ya ushindi wa kiongozi huyo
Wafuasi
wa Chadema wanaomuunga mkono Zitto wakiwa wamekaa chini kutii amri ya
polisi baada ya matokeo ya kesi kutangazwa upende wao ukiwa aumeibuka
kidedea
Wafuasi wa Chadema wanaounga
mkono uongozi wa chama hicho kutaka Zitto atimuliwe uanachama, wakiwa
wameduwaa nje ya mahakama baada ya uamuzi wa Jaji, John