TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, August 7, 2014

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT. 
 Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga.
 Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT. 
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino wa UTT akitoa elimu kwa wakulima wa wilaya ya Tandahimba juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT kwenye maonyesho ya Nane Nane yanayofanyika mkoani Lindi. (Picha kwa Hisani ya UTT).

KESI YA MAUAJI !!! UONGO WA KUPINDUKIA WA MWANARIADHA MLEMAVU OSCAR PISTORIUS YA KUMUUA MPENZI WAKE KWA KUMPIGA NA RISASI WASTUKIWA MAHAKAMA YA AFRIKA YA KUSINI.

Paralympic Star Oscar Pistorius Shoots Girlfriend Mistaking Her For An Intruder2 

Oscar Pistorius amejitetea kwamba alimpiga risasi kimakosa mpenzi wake Reeva.

Kiongozi wa mashtaka kwenye kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha mlemavu raia wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amemtaja mshtakiwa kama mtu aliyekolea uongo .
Kwenye taarifa yake ya mwisho kiongozi wa mshataka Gerrie Nel amesema kuwa Pistorius aliumuua mpenziwe Reeva Steenkamp nyumbani kwake mjini Pretoria mwaka uliyopita.
Bwana Nel alikataa taarifa kutoka kwa upande unaomtetea Pistorius kuwa mwanariadha huyo alimuaa mpenziwe kimakosa akidhania kuwa alikuwa ni jambazi aliyengia nyumbani kwake.

Mamake Reeva akiwa Mahakamani
Wakili wa Pistorius naye alitoa taaraifa yake ya mwisho ambayo inatarajiwa kundelea pia kesho ijumaa akiwalaumu polisi kwa kuvuruga eneo kulikotokea mauaji.
Baadaye mahakama hiyo itatoa umauzi wake wa mwisho kuhusu hatma ya mwanariadha huyo.
Bwana Pistorius anatuhumiwa kwa mauaji ya mpenzi wake, Reeva Steenkamp, nyumbani kwake mjini Pretoria mwaka jana.
Wakili wa upande wa mashitaka Gerrie Nel amesema sio ukweli kuwa Pistorius alimpiga risasi mpenzi wake kimakosa akidhani kwamba alikuwa jambazi.
Mauaji hayo yalitokea tarehe 14 mwezi Februari mwaka jana.

Kiongozi wa mashitaka Gerrie Nel
Wakili wa Pistorius pia anatarajiwa kutoa kauli yake ya mwisho kuhusiana na kesi hiyo.

Kesi hiyo iliahirishwa mwezi jana kabla hatua hii ya pande zote kutoa kauli zao za mwisho na kesi kuamuliwa kufika.
Bwana Pistorius alisema alimpiga risasi Reeva kutokana na uoga kwani alidhani alikuwa mwizi aliyekuwa amevamia nyumba yake.
Hata hivyo wakili wa upinzani ameambia mahakama haipaswi kuwa a ugumu wowote katika kukataa ushahidi wa Pistorius kwa sababu hauna msingi na kwamba ni uongo. Pia amesema Pistorius amejidai kuwa mwathiriwa kwa njia moja au nyingine kutokana na ulemavu wake.
Babake Pistorois ambaye hajakuwa maishani mwake kwa miaka mingi alikuwa mahakamani kwa mara ya kwanza tangu kesi hiyo kuanza kusikilizwa.
Babake marehemu Reeva pia alifika mahakamani kwa mara ya kwanza.BBC

Angel Binti wa Rais Kagame aitikisa White House Marekani


Wakati ambapo marais wengi wa Afrika wameenda na wake zao kwenye mkutano na Rais Barack Obama, Rais Paul Kagame wa Rwanda amechagua kwenda na binti yake, Angel.
Awali watu  walidhani  kuwa  mke wa Rais wa Cameroon, Chantal Biya anaweza kuwa kivutia kwa wengi kutokana na nywele zake, lakini inavyoonesha Angel Kagame ‘ameichukua show’ kwa urembo na urefu wake kama wa Twiga. 
Tazana pia Urembo na Uzuri wa Chantal Biya mke wa Rais wa Cameroon

Can US shake the dragon’s influence in TZ, Africa

President Jakaya Kikwete, accompanied by First Lady Salma Kikwete, arrives at the White House for a group dinner during the US-Africa Leaders Summit in Washington, DC, on Tuesday.

PHOTO-AFP      
By: Richard Mgamba
Suddenly, their dirty and dusty neighbourhoods had all been spruced up, and in a rare show of resolve, someone had actually seen it to use clean water to ‘‘bathe’’ the streets; it was a rare treat indeed — never seen here before in decades.
In the morning of July 1, last year, when five million residents of Dar es Salaam woke up to a lifetime shock and couldn’t believe their eyes weren’t cheating. Some thought they had been caught by the wrong hop.
Suddenly, their dirty and dusty neighbourhoods had all been spruced up, and in a rare show of resolve, someone had actually seen it to use clean water to ‘‘bathe’’ the streets; it was a rare treat indeed — never seen here before in decades.
Hundreds of those streets and walkways famous for the ubiquitous beggars underwent ‘‘state-of-art surgery’’ as beggar after another were temporarily bundled out from the heart of Dar es Salaam.
It was all part of a spirited clean-up to make Tanzania’s commercial capital a respectable, albeit temporary, home to the world’s most powerful President, Mr Barack Obama , for a single night’s sleep and two fractions of business days.
But, it was also just a special moment to welcome a man who came waving a $7 billion energy package in his hands, and a message of partnership in his heart to Tanzania and Africa.
Earlier in March, last year, Dar es Salaam hosted the dragon, Chinese President Xi Jiping, who made Tanzania his first stop-over during his tour of Africa, shortly after being elected the country’s top leader.
During President Xi three-nation Africa tour during, China signed 16 trade, cultural and diplomatic accords worth about $12 billion in Tanzania alone.
There are approximately 8,000 businesses run by his native Chinese compatriots across Tanzania, ranging from large-scale construction projects to small shops and downtown market kiosks.
This week, President Obama convened a giant game of “Let’s Make a Deal” between the US and Africa, bringing together nearly 50 African leaders with American investors for what he promised would be a long-term partnership that went beyond extracting “minerals from the ground for our growth.”
President Jakaya Kikwete was among the key speakers during the meeting, which some analysts see as the American’s attempt to overtake the growing Chinese’ influence not only in Tanzania, but across Africa.
For Mr Obama, the son of a Kenyan economist, wrote Mark Landler of the New York Times: “It was the centerpiece of a three-day summit meeting of African leaders — some close allies of the United States, others barely on speaking terms — that is the president’s most ambitious attempt to cement his legacy as an American leader who cares about the African continent.”
Mr Obama told African leaders: “Our entire trade with all of Africa is still only about equal to our trade with Brazil.” He added:

Rais Obama katika Mkutano wa Viongozi mbalimbali wa Afrika

From last week's meeting of the Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders, to this week's U.S.-Africa Leaders Summit, there's been a lot going on here in Washington focused on strengthening our economic and diplomatic ties with Africa. So as the summit comes to a close, we're giving you an opportunity to chat with us about what this means for the future of Africa and the United States.
Today, at 2 p.m. ET, join Deputy National Security Advisor Ben Rhodes and the ONE Campaign for a Twitter Q&A.
President Barack Obama delivers remarks at the Investing in Africa’s Future session.
President Barack Obama delivers remarks at the "Investing in Africa’s Future" session during the U.S.-Africa Leaders Summit at the U.S. Department of State in Washington, D.C., Aug. 6, 2014. (Official White House Photo by Chuck Kennedy)

 
 
  Top Stories
President Obama and African leaders took part in three action-oriented sessions yesterday as part of the U.S.-Africa Leaders Summit in Washington, D.C. The summit is the largest event any U.S. president has held with African heads of state and government, and builds on President Obama's trip to Africa last summer.
It Only Takes Three Minutes to See Why We Must Act on Climate Change
When it comes to climate change, the facts are in. Watch as President Obama's Science Advisor Dr. John Holdren explains -- in less than three minutes -- how climate change is making America's wildfires more dangerous and why we must act now.
On Monday, President Obama celebrated his 53rd birthday. In honor of the occasion, we put together our top 10 photos from the past year.

 
 
  Today's Schedule
All times are Eastern Time (ET)
11:20 AM: The President delivers remarks and signs H.R. 3230, the Veterans’ Access to Care through Choice, Accountability, and Transparency Act of 2014
12:15 PM: Press Briefing by Press Secretary Josh Earnest WATCH LIVE
4:00 PM: The President meets with senior advisors

 
Did Someone Forward This to You? Sign Up for Email Updates
This email was sent to missdemokrasiatanzania@yahoo.com
Unsubscribe | Privacy Policy
Please do not reply to this email. Contact the White House
The White House • 1600 Pennsylvania Ave NW • Washington, DC 20500 • 202-456-1111

NABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI

20140806_050949Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika  banda lao viwanja vya nane nane jijini Arusha
20140806_051800 
Hii ni moja ya vifaa vinavyopatikana katika banda lao maarufu kwa jina la Gutter System,kazi yake kubwa ni kuvuna maji ya mvua ,uv resistance,hazikakamai wala kuvunjika na guarantee yake miaka 10
20140806_051639
Hii ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi.
 
20140806_050615Vigae vya kuezeka (Decra Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 50
20140806_051321Floor Tiles za  mbao, ambazo zinatafutwa sana sokoni
20140806_051551Muonekano banda la Nabaki Afrika katika viwanja vya nane nane jijini Arusha,katika banda hilo utaweza kujipatia vifaa bora vya ujenzi wa nyumba yako pamoja na ushauri
20140806_051448Pump za maji za visima na matumizi ya nyumbani
20140806_051224Water Filter, kazi yake kubwa ni kuchuja maji,kutoa chumvi kwenye maji na kufanya yawe salama kwa kunywa
20140806_051429
Heater za maji kwaajili ya kupasha maji moto ikijulikana kwa jina la Ariston, Pia wanahita za umeme na za solar yaani  mionzi ya jua
20140806_053955Vigae vya kuezeka ( Fortiza Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 25
20140806_050843Conmix Decorative plaster SP3 ni plasta bora zilizo na rangi hazihitaji kupaka rangi(zikiwekwa dawa hazipitishi maji)

Kampuni ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa vifaa mbalimbali vya ujenzi.Kampuni hiyo inahusika katika maeneo makuu matatu,yaani uezekaji,ujenzi (Construction) na maji.

Kwa mawasiliano  wasiliana nao kupitia info@nabaki.com au tembelea tovuti yao www.nabaki.com au piga simu namba 0766 827417 au 0786 966114.Nabaki Afrika imejaribiwa,Imepimwa na Imeaminiwa zaidi ya miaka 20 Tanzania.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

BREAKING NEWS TUKIO KATIKA PICHA: MTU MMOJA AUAWA PAPO HAPO KWA KUCHOMWA NA KISU KISA WALIKUWA WANADAIANA TSH 5,000, KITUO CHA MABASI IRINGA

 Tunaomba Radhi kwa picha.
 Tukio tulilopokea muda mchache uliopita mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amemuua mwenzake kisa walikuwa wanaiana Shilingi Elfu tano... Tunaendelea kufuatilia tukio zaidi .. endekea kufuatilia hapa hapa.
 Kijana huyo ambaye jina halijafahamika akiwa amefariki baada ya Kuchomwa kisu na mwenzake kisa madai ya Tsh 5000 tuu
Mamia ya watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo.

Radio 5 yapongezwa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani.

Wasanii wa fani ya Uchekeshaji mahiri kutoka nchini Uganda,Kenya na Tanzania wakitoa burudani kwa washabiki na wapenzi wa fani hiyo ,iliofanyika kwenye moja ya ukumbi wa hotel ya Golden Tulip Jijini Dar,pichani shoto ni Fred Omondi kutoka Kenya,mwanadada Anne Kansiime kutoka nchini Uganda na Mc Pilipili wa Tanzania.

 Sehemu ya washabiki na wapenzi wa fani hiyo wakivunjika mbavu kwa kucheka.
 mwanadada Anne Kansiime kutoka nchini Uganda akitoa burudani ya vichekesho kwa watazamaji (hawapo pichani),ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Golden Tulip jijini Dar hivi karibuni

Kituo cha Radio 5, kimepongezwa na wadau wa sanaa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani hapa nchini.

Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza Radio 5, wakati wa burudani ya wachekeshaji wa majukwaani iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Golden Tulip. Burudani hiyo ambayo ilifana sana iliwajumuisha mchekeshaji kutoka Uganda, mwanadada Anne Kansiime, Fred Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.

Akizungumzia onyesho hilo, mmoja ya mashabiki waliohudhuria onyesho hilo, amesema sanaa ya vichekesho vya majukwaani nchini haijapewa kipaumbele kama aina nyingine za sanaa. ‘Watu wengi bado wanaamini sanaa za kuchekesha majukwaani sio kazi rasmi kama kazi nyinginezo, lakini hii imeanza kubadilika hapa nchini, na tutarajie mabadiliko zaidi kama wadau wengine kama radio 5 wakijitokeza kusaidia’ alisema Farida Akida.

Akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na anavyoiona tasnia ya vichekesho vya majukwaani Afrika Mashariki, mchekeshaji Anne Kansiime anasema anaamini sanaa ya vichekesho vya majukwaani inaanza kujijengea heshima kubwa miongoni mwa wananchi.  ‘Mimi sio mbunge au mwanasiasa, lakini nimepata mapokezi makubwa, kwa kazi hii tu ya kuchekesha watu, hivyo naona hii tu pekee ni dalili ya kukua kwa tasnia hii hapa Afrika Mashariki’ alisema Anne.

Ikiwa ni mara ya kwanza kwa mwanadada Kansiime kuja Tanzania kutoa burudani, hasa baada ya kujijengea umaarufu mkubwa kupitia vipande vyake vya vichekesho vilivyo mtandaoni, tiketi za burudani yake ziliisha wiki moja kabla hajawasili.  Katika usiku huo wa burudani ulioitwa, Cheka Kwa Nguvu, mchekeshaji toka Tanzania, Pilipili aliwatoa kimasomaso mashabiki waliofurika kwa vichekesho vyake vilivyoonekana kuwagusa mashabiki moja kwa moja.

Huku mashabiki wengi wakiwa hawamfahamu vyema, Pilipili ambaye kitaaluma ni mwalimu, anasema aliacha kazi ya ualimu ili awe mchekeshaji, hivyo kwake yeye, kuchekesha ni kazi kama kazi nyingine. ‘Kwangu mimi hii ni kazi ambayo najivunia, na naamini nitaweza kuwawakilisha watanzania vyema kimataifa kupitia uchekeshaji, na naishukuru Radio 5 kwa kunipa fursa ya kuonyesha kwamba ninaweza’ alisema Pilipili.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio 5, Robert Francis amesema huu ni mwanzo tu wa kuwaandalia watanzania burudani za kipekee na watarajie mengi zaidi kutoka Radio 5. ‘Sanaa ya uchekeshaji jukwaani bado haijapewa nafasi kubwa hapa nchini, lakini kama mlivyoona, mashabiki wamejitokeza kwa wingi sana kwenye burudani yetu, hivyo watu watarajie burudani za aina hii nyingi zaidi kutoka kwetu’ alimaliza Francis.

NI VITA KALI : MAMBA AMZIDI UJAJA PAPA

Croc Takes on Shark During Epic Battle

PHOTO: Andrew Paice of Sydney, Australia photographed a crocodile nicknamed "Brutus" eating a live shark while on Adelaide River cruise on August 5, 2014.
An Australian tourist was left stunned after he witnessed a crocodile attempting to swallow a shark.
Andrew Paice, 43, was on a one-hour cruise on the Adelaide River in Australia when he spotted something unusual in the river.
“Earlier, we saw an 18-foot male crocodile known as Brutus leaping out of the water to eat a piece of buffalo meat held out on a pole to them,” Paice told ABC News via email.
When Paice and his family were on their way back to the jetty, they went past Brutus again. Only this time, they spotted there was a fin in the riverbank as well.
“I thought it was a [fish] or something,” Paice said.
“Then the guide took the boat in for a closer look and behold… it was a shark,” Paice added.
Brutus, famous among tour guides, is thought to be about 80 years old and missing a front leg and most of his teeth. He was photographed wrestling with a bull shark it its jaws.
PHOTO: Andrew Paice of Sydney, Australia photographed a crocodile nicknamed Brutus eating a shark while on Adelaide River cruise on August 5, 2014.
Andrew Paice
PHOTO: Andrew Paice of Sydney, Australia photographed a crocodile nicknamed "Brutus" eating a shark while on Adelaide River cruise on August 5, 2014.
“The shark was alive in the crocodile’s mouth,” Paice said. “The shark kept wriggling and thrashing about in the croc’s mouth.”
“The croc slid back into the water with the shark in its mouth and then swam across to the mangroves to protect its catch,” Paice added.
Paice said his daughter was “awestruck” by the experience.
“Our tour guides, Morgan and Harry, have been doing this for 30 years and they have never seen anything like this,” Paice said.
Paice said the shark was about 5-feet long. Although Brutus looked like he had taken the shark, Paice said there was a possibility it had actually escaped.
“Brutus is such an old croc,” Paice said. “His teeth aren’t really good, so he couldn’t puncture him very well.”
Paice is currently on a one-year adventure around Australia with his partner Nikki and his daughter.
Paice, an amateur photographer, has taken over 6,500 pictures over the past four months.
“It has certainly given me a boast in regards to my photography,” he said.

kutana na maajabu ya Dunia- yasadikiwa ni kitu kutoka mbinguni.

Kwa mujibu wa chapisho la jumanne tarehe 5, katika mtandao wa The Express wa nchini Uingereza, picha hiyo ya ajabu inaonesha wingu kubwa lenye “shepu ya mkono” ukitokeza katika wingu huko Kent, nchini Uingereza jumatatu iliyopita.

Mpigapicha huyo mwenye umri wa miaka 38 na baba wa watoto wawili, alikuwa nyumbani kwake na mkewe Jodie (37), alipoona wingu likijikusanya kwa sura ya chujio.
Baba huyo hakuamini macho yake na kudai kuwa hajawahi kuona kitu kama hicho maishani mwake. “Ilionekana kweli kama Mkono wa Mungu. Ulionekana kama mkono mkubwa unachomoza kutoka mawinguni, ilikuwa ni ajabu” Alisema David.

“Nilitamani sana kwenda kupiga picha za kimbunga nchini Marekani ambapo kuna mambo mengi ya ajabu, lakini hili ni la ajabu zaidi, nafurahi sana kuweza kupata picha ya tukio zima katika video” aliongeza Christie.
Hii sio mara ya kwanza kwa tukio la ishara ya kidini kutokea mawinguni, wiki iliyopita mpigapicha mwingine jua huko Norfolk alifanikiwa kupata picha ya wingu lenye sura yenye ndevu kutokea mawinguni.

AFA AKIFANYA MAPENZI NA MBWA



MWANAMKE mwenye umri wa miaka 43 nchini Ireland amefariki dunia baada ya kufanya mapenzi na Mbwa.

Mwanamke huyo ambaye alikuwa ni mama wa watoto wa wanne, jina lake halijatajwa, lakini imefahamika kwamba alifahamiana na mwanaume mwenye umri wa miaka 57, Sean McDonnell kwenye mtandao wa Zoofili ambako walichati kuhusiana na kufanya mapenzi na mbwa na baadaye walikutana mwaka Oktoba 2008.
 
Wakati wanakutana, McDonnell alikuwa na mbwa huyo mwenye asili ya Ujerumani, na hatimaye mpango wao ukafanikiwa, Mbwa afanya mapenzi, a.k.a akamla uroda mama huyo.Muda mfupi baada ya kukamilika kwa tendo hilo mwanamke huyo alianza kuumwa, akakimbizwa hospitali (sijui alisema anaumwa nini), akafariki dunia muda mfupi baadaye. Inadaiwa kuwa, mwanamke huyo alifariki dunia kutokana na aleji aliyoipata kutokana na mbegu za kiume za mbwa kuingia kwenye mwili wake.Ingawa polisi walithibitisha kuwa tendo hilo lilifanyika kwa ridhaa ya mwanamke huyo, Sean McDonnell, amekamatwa na kushitakiwa mahakamani akidaiwa kumlazimisha mwanamke huyo avunje amri ya sita na Mbwa!Kama atapatikana na hatia, McDonnell huenda akahukumiwa kifungo cha maisha 

MSANII WA BONGO MOVIE AFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI

TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.
Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati akirejea kwao maeneo ya Tabata - Kinyerezi.
Alikuwa akiendesha mwenyewe pikipiki, akavaana uso kwa uso na gari, ilikuwa ni ajali mbaya sana kwani marehemu alipasuka vibaya kichwa hali iliyosababisha damu nyingi kuvuja na kusababisha kifo chake
alisema Kaftany.
Baadhi ya sinema alizoigiza enzi za uhai wake ni pamoja na Muuza Genge na Mapenzi ya Fukara iliyomshirikisha Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wasanii wengine. Mwili wa marehemu Bryton ulisafirishwa jana (Jumanne) kwenda Rombo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi yaliyotarajiwa kufanyikwa leo Jumatano.