Hii
ni moja ya vifaa vinavyopatikana katika banda lao maarufu kwa jina la
Gutter System,kazi yake kubwa ni kuvuna maji ya mvua ,uv
resistance,hazikakamai wala kuvunjika na guarantee yake miaka 10
Hii
ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa
yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi.
Heater
za maji kwaajili ya kupasha maji moto ikijulikana kwa jina la Ariston,
Pia wanahita za umeme na za solar yaani mionzi ya jua
Kampuni
ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa
vifaa mbalimbali vya ujenzi.Kampuni hiyo inahusika katika maeneo makuu
matatu,yaani uezekaji,ujenzi (Construction) na maji.
Kwa
mawasiliano wasiliana nao kupitia info@nabaki.com au tembelea tovuti
yao www.nabaki.com au piga simu namba 0766 827417 au 0786 966114.Nabaki Afrika imejaribiwa,Imepimwa na Imeaminiwa zaidi ya miaka 20 Tanzania.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment