Askari Polisi akimdhibiti kijana ambaye hakufahamika jina (wa tatu kulia)kwa kutuhumiwa kuiba kompyuta ya kubebe 'laptop' na hela ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam juzi. Picha na Pete Twite
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Bi. Liberata Mulamula akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam jana kabla ya mkutano wa kujadilikuhusu maadhimisho ya Miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) yatakayofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Picha na Asia Mbwana
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta, Prof. Lehice Rutashobya (katikati) akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Posta, Bw. Hamisi Mndeme, baada ya kumalizika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo Dar es Salaam jana. Picha na Prona Mumwi
========================================================
RAIS wa Marekani, Bw. Barack Obama, atakuwa na ujumbe wa watu 700 katika ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe, aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema kutokana na ziara ya kiongozi huyo, alitoa wito kwa wafanyabiashara wenye hoteli, migahawa, magari ya kukodisha waziboreshe biashara zao ili Wizara hiyo iingie mkataba nao. Aliongeza kuwa, akiwa nchini, Bw. Obama atafanya mkutano na viongozi wa nchi zinazoendelea kwa kuzungumzia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika nchi zao.“Ugeni huo ni mkubwa, ujio wa kiongozi huyu utaisaidia nchi kupata pesa za Miradi ya Changamoto za Milenia (MCC), ambazo zitatumika katika maji, elimu na barabara. “Pia Rais Obama atazungumzia jinsi nchi za Afrika zitakavyopata umeme wa kutosha tofauti na sasa...kimsingi tumejiandaa katika mapokezi yake hata kwenye mavazi,” alisema Bw. Membe. Hata hivyo, Bw. Membe alisema tayari baadhi ya ujumbe ambao ataongozana nao umeanza kuwasili nchini kwa matayarisho. Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. John Haule, alisema Umoja wa Nchi za Afrika (AU), kesho unafikisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Alisema maadhimisho hayo yatafanyika Makao Makuu ya umoja huo Addis Ababa, nchini Ethiopia ambapo nchini Tanzania, yatafanyika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Aliongeza kuwa, mgeni rasmi katika maadhimisho hayo nchini atakuwa Bw. Membe ambaye atakuwa na mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania. Bw.Haulea lisemaumoja huoulianza mwak a1963 a mbapohadi sasamafa nik iowaliyoya patani onge zekolawa nachamakuto ka32hadi54,kupat ikanakw auhuruwa nchi ya S udanKusin i,vio ngozi wanawak ebaraniAf rikanawananchiku waheshi muviong ozi wanchi zao .A lisemambali ya mafanikio waliyopa tapiakunachangamotozilizopoka tika nchi wanachama kamatis hiolaugaidi, uh aramiana hali te tekati ka baadhiyanchi kam aSomalia na Mali.