TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, March 19, 2016
UMOJA WA WALIOSOMA KIGOMA SEKONDARI MWAKA 1991 -1994 WAZINDULIWA
Mwenyekiti
wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 – 1994
(UWKS) Dkt. Nelson Boniface akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa kwanza
wa Umoja huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Hotel jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi na Msemaji wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma
mwaka 1991 – 1994 (UWKS) Bibi. Elizabeth Bisendo akifafanua jambo
wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika leo katika
ukumbi wa Golden Tulip Hotel jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria
na Mratibu wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 –
1994 (UWKS) Wakili Msomi Marko Anthony Nsimba akielezea namna
alivyoshughulikia suala la usajili wa Umoja huo wakati wa mkutano mkuu
wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip
Hotel jijini Dar es Salaam.
TPB YAKUTANA NA WAHARIRI KUELEZEA MAFANIKIO ILIYOFIKIA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA SITA NA KUELEZA MKAKATI MPYA WA "KUIPAISHA"
BENKI ya
Posta Tanzania, (TPB), imekutana na wahariri wa vyombo vya habari hapa
nchini, na uongozi mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, na
kuelezea mafanikio ambayo Benki hiyo kongwe hapa nchini imeyapata
katika kipindi cha kuanzia mwaka 2010 hadi 2016.
Pia Benki
hiyo imeeleza mkakati wake mpya wa kuifanya benki hiyo kuwa moja ya
mabenki makubwa kabisa sio tu hapa nchini bali nje ya mipaka ya nchi
ambapo sasa inatarajia kuwa na jengo lake la kisasa.
Ramani ya Tanzania ikionyesha mtandao wa benki ya posta Tanzania, TPB |
Uzembe waingiza zaidi ya milion 500 kwa Jeshi la Polisi Dar
Uzembe
wa Madereva wawapo bararani umeingiza zaidi ya milion 500 kwa jeshi la
polisi kanda maalum kupitia kitengo cha usalama barabarani,Polisi Kanda
maalum DSM kupitia kitengo cha Usalama Barabarani kimefanikiwa kukamata
magari mbali mbali kwa makosa ya usalama barabarani jumla ya Tshs
577,831,000/= zimekusanywa ikiwa ni tozo kwa makosa hayo.
Aidha madereva wametakiwa kuwa waangalifu pindi wawapo bararani ili
kuepuka adhabu zitolewazo ili vipatao hivyo viwasaidie katika maisha yao
ya kila siku.
Kamanda Siro akitoa taarifa ya makosa ya usalama barabarani
Tanzanians happy with implementation speed of the proposed construction of the Tanzania-Uganda crude oil pipeline
Tanzanians
are happy with the implementation speed of the proposed construction of
the Tanzania-Uganda crude oil pipeline which is expected to start in
August this year, and will be completed in 2019.
“We
are overwhelmed by the rapidity of the project considering only two
weeks have passed since Presidents Museveni and Dr. Magufuli jointly
approved the project when they met in Arusha.
“It
is unbelievable to note that officials from both sides have this week
signed the agreement and come August the construction work takes off”,
said Ms Natala Kimaro of Moshi. Amani
Abdallah of Tanga said that the 1,403-kilometer pipeline that will
link oil fields in Uganda’s Lake Albert, Hoima region to Tanga port in
Tanzania is testimony to true East African integration spirit, hoping
more such projects would be initiated.
The
construction of the crude oil pipeline will be carried out by three oil
firms–UK’s Tullow Oil PLC, France’s Total E&P and China’s Cnooc.
Once completed, the pipeline is expected to transport up to 200,000
barrels per day passing through a number of Tanzanian regions from the
Indian Ocean port of Tanga to Uganda.
WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WASHIRIKI BONANZA MAALUM JIJILI DAR.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Mfanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akishiriki mchezo wa kukimbiza kuku,
wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika
kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,jijini Dar es Salaam,leo Machi
19,2016.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli
Maleko, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo,
aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
Friday, March 18, 2016
BREKING NEWSSS: WABUNGE WA CUF WAJIVUA UBUNGE
Katika
barua ambayo inaonekana kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF
aliyetajwa kwa jina la Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari
leo Machi 18,2016, imeeleza kuwa wabunge wote wa Chama cha Wananchi
(CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020
kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kuporwa
haki katika uchaguzi wa Zanzibar.
Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Chini ni nakala ya barua ambayo imesambawa....Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Baada ya muda Mfupi Ndg Ismail Jussa ameweza kuikanusha Barua hiyo kwa kuandika ujumbe huu kupitia Akaunti yake ya Facebook.
UMOJA WA VYAMA VYA SIASA VISIVYO NA UWAKILISHI BUNGENI VYATOA TAMKO LA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA MAREJEO ZANZIBAR.
Subscribe to:
Posts (Atom)