BENKI ya
Posta Tanzania, (TPB), imekutana na wahariri wa vyombo vya habari hapa
nchini, na uongozi mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, na
kuelezea mafanikio ambayo Benki hiyo kongwe hapa nchini imeyapata
katika kipindi cha kuanzia mwaka 2010 hadi 2016.
Pia Benki
hiyo imeeleza mkakati wake mpya wa kuifanya benki hiyo kuwa moja ya
mabenki makubwa kabisa sio tu hapa nchini bali nje ya mipaka ya nchi
ambapo sasa inatarajia kuwa na jengo lake la kisasa.
Ramani ya Tanzania ikionyesha mtandao wa benki ya posta Tanzania, TPB |
Pia alisema, benki hiyo imeziti
kutanua mtandao wake kwa kuboresha muonekano wa matawi ya benki hiyo
katika mikoa 26 ya bara na visiwani. Alsiema sambamba na matawi hayo
huduma za kibenki zinapatikana kote nchini kwenye ofisi za
posta.
Moshingi akitoa maelezo ya kina
kuhusu huduma za TPB, mafanikio iliyopata na malengo yake ya
baadaye.
Moshingi
akitoa maelezo ya kina kuhusu huduma za TPB, mafanikio iliyopata na
malengo yake ya baadaye
Meneja Mkuu anayeshughulikia masuala ya shirika, na mahusiano ya umma, wa TPB, Noves Moses, akizungumza kwenye hafla hiyo |
No comments:
Post a Comment