Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
KAMPUNI
ya Husea imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuazishwa kwake Machi mwaka huu
kwa kutoa msaada wa vifaa vya hospitali na kuwapa zawadi akinamama
waliojifungua leo katika hospitali ya Palestina Sinza jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya wazazi wakiwa wamewapakata watoto waliojifungua leo mara baada ya
kupata zawadi na kampuni ya Husea jijini Dar es Salaam leo.



No comments:
Post a Comment