Mkurugenzi wa Elimu Wilaya ya Kinondoni, Bw. Edwin Luboha, ambaye
alikuwa mgeni Rasmi katika Mahafali yas 12 ya Chuo cha Uandishi wa
Habari na Utawala DACICO, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha DACICO
Bw. Idrisa Mziray.
Baadhi ya Walimu wa Chuo cha DACICO wakiwa katika Mahafali
Kutoka kushoto, Mkurugenzi wa Mafunzo
wa Chuo cha Dacico, Bw. Vedasto Malima, Mgeni Rasmi Godwin Luboha,
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo, Bw. Idrisa Mziray na Mkuu wa Chuo, Bi. Rehema
Komba. wakiwa tayari Kutunuku Astashahada na Shahada kwa wanafunzi
walioitimu.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo waliohitimu.
Mwanasheria wa Chuo cha DACICO, Bw. Adolf Kisima(kati), Mshereheshaji
,Gradnes Ikumbo(wa kwanza kushoto) kulia ni baadhi ya Walimu.
Washereheshaji wa Mahafali Gradness Ikumbo na Obby Malima wakiwa katika Pilika.
Mgeni Rasmi na Mkurugenzi Mkuu wakiwa Meza Kuu
Mkuu wa Chuo Bi. Rehema Komba, akifafanua jambo wakati wa Mahafali hayo kwa Mgeni Rasmi.
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha DACICO, akifafanua jambo.
Walimu na Washereheshaji wakiwa katika Mapozi wakati wa Mahafali ya 12 Dacico.
Mkurugenzi wa Mafunzo na Elimu wa Chuo, akitoa taarifa ya Maendeleo ya Chuo kwa Mgeni Rasmi.
Baadhi ya Walimu
Mkurugenzi wa Elimu Wilaya ya Kinondoni, Bw. Edwin Luboha, ambaye
alikuwa mgeni Rasmi katika Mahafali yas 12 ya Chuo cha Uandishi wa
Habari na Utawala DACICO, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha DACICO
Bw. Idrisa Mziray.
Mkuu wa Chuo Bi. Rehema Komba, akifafanua jambo wakati wa Mahafali hayo kwa Mgeni Rasmi.
Mkuu wa Chuo Tawi la Mbeya, Bi. Adventine Wigenge,(kulia) akisoma
Taarifa juu ya Mafaniko ya Tawi la Mbeya wakati wa Mahafali hayo kwa
Mgeni Rasmi.kati ni mkiuu wa chuo cha Dar es Salaam Bi. Rehema Komba, na
Mkurugenzi Mkuu Idrisa Mziray.
Mkuu wa Chuo cha Sumbawanga, Kiteleli kite, akitoa taarifa ya Maendeleo ya Chuo cha Sumbawanga
Afisa Habari wa Chuo cha DACICO, Kilangi Musiba,kulia) akifuatilia kwa
makini Mahafali hayo, kushoto ni Baadhi ya wageni na wazazi wa
Wahitimu.
Rais wa Chuo cha DACICO, Kisiza Leonard,(kulia) akitoa ufafanuzi na Maendeleo ya Wanafunzi.
Mkurugenzi Mkuu wa DACICO, akitoa maelezo kuhusiana na Chuo
Mkurugenzi wa Elimu wilaya Kinondoni, ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa
Mahafali ya 12 ya DACICO, Bw. Godwin Luboha, akisema jambo wakati wa
Mahafali.
Rais wa Chuo cha Royola, Geofry Mtenzi, akitoa neno wakato wa Mahafali hayo.
Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha Uandishi DSJ, Junanne Bakana, akitoa neno wakati wa Mahafali.
Waziri wa Michezo wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha Uandishi -TSJ- Baraka Gangata, , akitoa neno wakati wa Mahafali.
Baadhi ya wageni waliofika kushuhudia Mahafali hayo.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).