TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, April 8, 2016

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA.














WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA DUKA LA DAWA LA MSD KANDA YA MBEYA.

Duka hilo la dawa la Kanda ya Mbeya limetumia Shilingi Milioni 13 kwa ukarabati wa jingo na vifaa vyake. Ummy Mwalimu akionesha moja ya dawa inayouzwa dukani hapo kwa shilingi 7,000 ambapo kwenye maduka binafsi inauzwa shilingi 25,000,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurine Bwanakunu na kulia ni Mfamasia wa duka hilo, Cornel Mkeng'e Mfamasia wa Duka la Dawa, Cornel Mkeng'e akitoa maelezo kwa Ummy Mwalimu mara baada ya kuzindua duka hilo Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu akiangalia jinsi ya ufungashaji wa dawa kwenye ghala jipya la Kanda ya Mbeya.ghala hilo limelozinduliwa leo jijini Mbeya. Duka la Dawa la Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Kanda ya Mbeya ambalo litahudumia mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akipata maelezo jinsi ya utunzaji dawa kwenye ghala hilo.

WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA HOTUBA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2015/16

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTNO WA ALAT.


JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LIMEFANIKIWA KUWAKAMATA WATU 63 WANAOZANIWA KUWA MAJAMBAZI.









MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WASHIRIKI KUTOA MADA KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) UNAOFANYIKA DODOMA.

RAIS DKT.MAGUFULI AMEMTEUA GELASIUS GASPAR BYAKANWA KUWA MKUU WA WILAYA YA HAI, MKOANI KILIMANJARO.

Polisi wa kinondoni jijini Dar es salaam wamefanikiwa kukamata bangi, pombe aina ya gongo na kung'oa bangi inayodaiwa kuoteshwa katika bonde la mkwajuni, eneo ambalo lilibomolewa nyumba kadhaa.


IDARA YA UHANDISI YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD MWENYEJI MKUTANO WA AE&M ABU DHABI.





MFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA MWEZI MACHI KWA ASILIMIA 5.4.


 







PROFESA MUHONGO ASISITIZA MAPINDUZI YA KIUCHUMI KATIKA SEKTA YA NISHATI NA MADINI.

Wafanyakazi wa wizara ya Nishati na Madini wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo wakati wa ufungunzi wa Baraza la wafanyakazi jijini Dar es Salaam leo. Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.