Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakisherehekea G-8 SUMMIT PUB, kutimiza Mwaka mmoja.
Wacheza Shoo wa Kanga Moko Ndembe ndembe, wakipagawisha na Mfalme wa nyimbo za Asili, Mfalme Siboka.
Mkurugenzi mkuu wa G-8 SUMMIT PUB, Mama Siliwa, menye kofia, akiwa na baadhi ya mashabiki wa G-8 SUMMIT, na miongoni mwa wadhamini wa Sherehe hizo wakati wa kutimiza mwaka mmoja.
Mashabiki wa G-8 SUMMIT Wakifuatilia kwa makini sherehe hiyo.
Mdau wa G.8 SUMMIT PUB, Tomaa Jamaa, kati na mkurugenzi wa G-8 Summit Pub, Mama Siliwa, wakifuatilia Burudani kutoka kwa Mfalme wa ngoma za asili Siboka na kundi la Kanga Moko.
Mdau
wa G.8 SUMMIT PUB, Tomaa Jamaa, kati na mkurugenzi wa G-8 Summit Pub,
Mama Siliwa, wakibariki Shampeni muda mfupi kabla ya kuifungua.
MC- akiwa na mmoja wa washereheshaji katika hafla ya kutimiza mwaka mmoja G-8 SUMMIT PUB.
Mdau
wa G.8 SUMMIT PUB, Tomaa Jamaa, kati na mkurugenzi wa G-8 Summit Pub,
Mama Siliwa, wakgonganisha glass wakati wa kubariki hafla hiyo.
Keki yenye nembo ya jina la G-8 SUMMIT, muda mfupi kabla ya kuandaliwa.
Mkurugenzi wa G-8 Summit Pub, Mama Siliwa, akijiandaa kwa ajili ya zoezi la Keki.
Mama Siliwa akiwa na baadhi ya wafanyakazi wake na Watoto wake Judith Felix Siliwa, Brenda Mushi na Wengine.
Mkurugenzi wa G-8 SUMMIT, Mama Siliwa akiwalisha baadhi ya wageni waalikwa Keki wakati wa Sherehe hiyo, miongoni mwao akiwa ni mkurugenzi wa MY WAY Entertainment, Poul Mganga na Rose Mwita. pamoja na Chusu.
Mkurugenzi wa G-8 SUMMIT, Mama Siliwa, akifungua burudani ya muziki kwa watu wote.
Mkurugenzi wa MY WAY Entertainment, Poul Mganga na mke wake Rose Mwita, wakati wa hafla hiyo |
Mfalme wa Nyimbo za Asili Siboka akipagawisha.
Mashabiki wakipagawa na minenguo ya wanenguaji wa Kanga Moko Ndembendembe, chini ya Mfalme wa Nyimbo za asili Mfalme SIBOKA.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).