Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Peter Mginji, akijaribu kumtoka samson John wa timu hiyo katika Mazoezi ya kwenye Uwanaj wa Baptist- Leo.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Peter Mginji(aliye ruka juu), akiwania Mpira na Mchezaji mwenzake Yusuph Ramadhan, wakati wa Mazoezi leo
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Kilaza Johnson, akitafuta nmana ya kupenya kwenye Ulinzi wa Mabeki wa Timu hiyo, wakati wa Mazoezi leo.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Jaka Mwambi , akijiandaa kurusha mpira
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Pangra Dawu, akielekea kufunga, wakati wa mazoezi ya timu hiyo
Kikosi Cha Timu ya Baptist B, wakiwa katika Picha ya Pamoja
Kikosi Cha Timu ya Baptist B, wakiwa katika Picha ya Pamoja
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Timu ya Baptist ya Moshi, Peter Mginji,
(Picha Zote na Mussa Ally wa Full Utamu- Moshi)