Katika
barua ambayo inaonekana kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF
aliyetajwa kwa jina la Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari
leo Machi 18,2016, imeeleza kuwa wabunge wote wa Chama cha Wananchi
(CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020
kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kuporwa
haki katika uchaguzi wa Zanzibar.
Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Chini ni nakala ya barua ambayo imesambawa....Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui.
Baada ya muda Mfupi Ndg Ismail Jussa ameweza kuikanusha Barua hiyo kwa kuandika ujumbe huu kupitia Akaunti yake ya Facebook.
No comments:
Post a Comment