Katibu mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akiongea na maafisa
Habari na mawasiliano wa Serikali na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Bw.Kebwe Steven Kebwe(wa tatu kutoka kulia) kufunga kikao cha 11 cha maafisa
hao kilichofanyika Mkoani Morogoro.Wengine pichani ni Mwenyekiti
mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw.Assah Mwambene(wa kwanza
kulia),Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ikulu Bw.Gerson Msigwa(wa kwanza
kushoto) na Mwenyekiti wa chama cha maafisa Habari na mawasiliano wa
Serikali(TAGCO) Bw.Innocent Mungi.(wa pili kulia).
No comments:
Post a Comment