Meneja
uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akifafanua
juu zao la bilinganya kwa wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya shahada ya
biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati walipotembelea
vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya wakulima nane nane
kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere
mkoani Morogoro.
Meneja
uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akielezea
mboga aina ya kebichi kwa baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya
shahada ya biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati
walipotembelea vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya
wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl
Julius Nyerere mkoani Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoani
Morogoro Anthony Mtaka na Mwandishi wa Uhuru Latifa Ganzel katika
maonyesho ya wakulima Nane Nane Kanda ya Mashariki
Vipando vya banda la farmbase juu, ni mboga mboga aina ya kebichi na nyanya katika maonyesho ya wakulima nane nane
kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere
mkoani Morogoro.
Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi akishangaa cocoa kutoka wilaya ya Mvomero katika maosnyesha hayo
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene mambo mbalimbali katika
maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki.
No comments:
Post a Comment