Mwenyekiti
wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la
Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014
kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa
Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya
hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya
tarehe 31/07/2014.
Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria, Mjumbe wa Bodi ya Sikika pamoja na Dokta Eli Nangawe (wa Kwanza Kuli).

tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa
katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa
baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria na
Mjumbe wa Bodi ya Sikika.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria akitolea ufafanuzi tamko
lililosomwa mbele ya waandishi wa habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia
kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa
Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya
hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya
tarehe 31/07/2014.
Dokta Eli Nangawe akijibu maswali mbele ya waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment