Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa
maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini
Dodoma.
Afisa matekelezo wa
LAPF Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu ya Mkopo wa Elimu unaotolewa
kwa wanachama wa LAPF. Mkopo huu umekuwa kivutio kikubwa kwa wanachama na wasio
wanachama.
Afisa Mifumo ya Computer Bi. hilda Kato akifafanua jambo kwa
wanachama waliotembelea bandani hapo.
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF
walioshiriki katika maonyesho ya Nane Nane Nzuguni Mjini Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja
MfukowaPensheniwa
LAPF umeanza kutoa Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanachama wake kwalengo la kuwasaidia wanachama
wanaotaka kujiendeleza kielimu kwa kuwalipia ada ya masomo. LAPF inajua kuna baadhi
ya wanachama walitamani kujiendeleza kielimu lakini kwa namna moja au nyingine wameshindwa
kutokana na gharama za masomo hayo hivyo LAPF itawawezesha kutimiza malengo yao. LAPF ndio Mfuko Pekee wa Pensheni nchini unaotoa
mkopo wa Elimu kwa wanachama wake.
LAPF, MCHANGO ULE ULE MAFAO ZAIDI.
No comments:
Post a Comment