Huu
ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi
upo katika hatua za mwisho za ujenzi Dampo hilo linajengwa maeneo ya
mlima nyoka jijini Mbeya na kazi kubwa pamoja na kuhifadhi takataka pia
litatumika kufua umeme na kutengeneza mbolea.
Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni
Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakua yanaingia na kumwanga taka taka hizo
Mwonekano wa Karibu wa ndani wa Dampo hilo la kisasa Jijini Mbeya
Hii
ni Chemba pekee ambayo ni maalum kwa ajili ya kupitishia takataka zenye
kimiminika, pia kupitishia takataka ambazo zitakuwa zimesagwa na
kupelekwa katika Bwawa maalum litakalo tumika kutengenezea umeme pamoja
na mabaki mengine ya takataka yatatumika kutengenezea mbolea.
Hapa Ndipo Takataka hizo zitakuwa zikitelemkia
Mwonekano zaidi wa Dampo hilo la kisasa kwa ndani ambapo kwa sasa wameweka kokoto ndogondogo chini huku ujenzi ukiendelea
Kingo pembezoni mwa Dampo hilo la kisasa
No comments:
Post a Comment