WILAYA YA MBEYA MJINI – AJALI YA PIKIPIKI KUGONGA GARI NA
KUSABABISHA VIFO.
MNAMO
TAREHE 13.01.2014 MAJIRA YA SAA 04:30HRS HUKO KATIKA ENEO LA SAE, KATA
YA MWAKIBETE, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA BARABARA YA
MBEYA/NJOMBE. PIKIPIKI T.436 CLP AINA YA T-BETTER IKIENDESHWA NA GABRIEL
S/O NGALELE, MIAKA 24, KYUSA, MKAZI WA UYOLE ILIGONGA KWA NYUMA GARI
T.684 BVY AINA YA SCANIA LILILOKUWA LIMEEGESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA
JINA WALA MAKAZI YAKE NA KUSABABISHA KIFO CHA MWENDESHA PIKIPIKI HUYO
PIA KUSABABISHA KIFO KWA ABIRIA ALIYEKUWA KATIKA PIKIPIKI HIYO AMBAYE
HAFAHAMIKI JINA WALA MAKAZI YAKE JINSI YA KIKE. CHANZO CHA AJALI
KINACHUNGUZWA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI
MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA
MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO KWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA
USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.
WILAYA YA MBEYA MJINI – KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI[GONGO].
MNAMO
TAREHE 13.01.2014 MAJIRA YA SAA 11:40HRS HUKO UYOLE VILABUNI, KATA YA
IGAWILO, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA, ASKARI POLISI WAKIWA
DORIA/MSAKO WALIMKAMATA JOSEPH S/O MWAKISA, MIAKA 38, KYUSA, MKULIMA
MKAZI WA NSALAGA NA WENZAKE WANNE WAKIWA NA POMBE YA MOSHI [GONGO]
UJAZO WA LITA MOJA NA NUSU [1 ½ ]. WATUHUMIWA NI WATUMIAJI WA POMBE
HIYO. TARATIBU ZA KISHERIA ZINAFANYIKA DHIDI YAO. KAMANDA WA POLISI
MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI
ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUTUMIA POMBE HARAMU YA MOSHI
KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.
WILAYA YA MBEYA MJINI – KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO].
MNAMO
TAREHE 13.01.2014 MAJIRA YA SAA 14:30HRS HUKO MWANJELWA, KATA YA
MAANGA, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA, ASKARI POLISI WAKIWA
DORIA/MSAKO WALIMKAMATA SUMA D/O MWAMPIKI, MIAKA 29, KYUSA, MKULIMA
MKAZI WA ILOLO NA WENZAKE WANNE WAKIWA NA POMBE YA MOSHI [GONGO] UJAZO
WA LITA MOJA NA NUSU [1 ½ ]. WATUHUMIWA NI WATUMIAJI WA POMBE HIYO.
TARATIBU ZA KISHERIA ZINAFANYIKA DHIDI YAO. KAMANDA WA POLISI MKOA WA
MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO
KWA JAMII HASA VIJANA KUACHA TABIA YA KUTUMIA POMBE HARAMU YA MOSHI
KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.
WILAYA YA MBEYA MJINI – KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA
MOSHI [GONGO].
MOSHI [GONGO].
MNAMO
TAREHE 13.01.2014 MAJIRA YA SAA 14:30HRS HUKO MWANJELWA, KATA YA
MAANGA, TARAFA YA IYUNGA, JIJI NA MKOA WA MBEYA, ASKARI POLISI WAKIWA
DORIA/MSAKO WALIMKAMATA TUKULAMBA D/O ASTON, MIAKA 30, KYUSA, MKULIMA
MKAZI WA MAFIATI AKIWA NA POMBE YA MOSHI [GONGO] UJAZO WA LITA TATU
[03] .MTUHUMIWA NI MTUMIAJI NA MUUZAJI WA POMBE HIYO. TARATIBU ZA
KISHERIA ZINAFANYIKA DHIDI YAKE. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA
KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA
JAMII KUACHA TABIA YA KUTUMIA POMBE HARAMU YA MOSHI KWANI NI KINYUME CHA
SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.
WILAYA YA MBEYA MJINI – KUPATIKANA NA BHANGI.
No comments:
Post a Comment